Zinahitajika saini 99,970 zaidi kuijurisha dunia mauaji Tanzania

Asante kwa ushauri kamanda. tumetuma kwenye badhi ya blogs. Hawatoi. Tunaomba tusaidiane kushare kwenye blogs, Facebook, Twitter n.k

wekeni facebook na twitter mtapata watu kule pia. mjaribu na mpiga picha michuzii kuweka kwake na kila website ya tz
 
Kwa tafiti ndogo ninamashaka na kupatikana kwa sahihi 99,000 coz hata waliouchabo uzi huu wamefikia 1475 tu so far! any way tujipe moyo! tutashinda.
 
Back
Top Bottom