Zinahitajika dola 26 bilioni miundo mbinu ya gesi; ili miaka 10 ijayo kuwa km kuwait

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
GESI YENYE FUTI TRILLION TATU ZA UJAZO MASHARIKI MWA LINDI;

Wapi tutakopa bilioni 26 dola? kwa ajili ya miundo mbinu?

Masharti ni yapi ya mkopo?

Kampuni ya gani inatufaa ambayo ina uzoefu na gesi?

Chuo gani kitatoa fani hii ; kina malengo yakutoa wahitimu wangapi kila mwaka kabla ya ubafsishaji?
 

Attachments

  • Kuwait_City.jpg
    Kuwait_City.jpg
    10.2 KB · Views: 87
  • kuwait city12.jpg
    kuwait city12.jpg
    24.7 KB · Views: 37
Rusia wanautaalamu mkubwa wa mambo ya gesi, lakini kwa vile serikali yetu iko mikononi mwa marekani! hatuwezi kufaidika nayo!
 
Hilo sio tatizo na si lazima uanze na project likubwa sana ,serikali ilio makini inaweza tena kwa muda mfupi tu.
 
Back
Top Bottom