'Zimwi la kugombea Urais CHADEMA'!

2po msibani tunaomboleza, magazeti tunasoma yenye habari a msiba na zaidi yaliyoandika fikra na mitazamo ya mpiganaji wa watu Regia Mtema..kalaleni majira..Zittto ongea toka moyoni maana nakumbuka maneno yako kwa wapiga kura wako wakati ulipoenda kupomba kura za ubunge.

Natoa wito wanaChadema wote kususia gazeti hili la Majira-CCM lisilo na chembe ya ubinadamu kwa kifo cha mwenzetu.
 
Uchaguzi utafanyika 2015. Kwa ssa maalim ni makamo wa kwanza wa Rais wa Znz kwenye SUK. Vipi Padre atagombea?


rudia shule, unaelewa ya Padre?ukiolewa harafu umeachwa wajulikana kama mke!akili za nguruwe kuwala wanae
 
Raia mwema na mwanahalisi wakiandika kila toleo habari za wagombea urais CCM au habari za kumpindua JK watu wanashangalia.

Ukisharuhusu magazeti yatunge habari ili kuweza kuuza magazeti yao, juwa hawataishia hapo. Habari za wagombea wa CCM zikichuja watahamia CHADEMA ili wauze magazeti yao.

Hapo ni mashindano ya kuuza magazeti na wala sio ukweli wa habari. Ukishatafuna nyama ya binadamu mara moja, utaendelea kula tu hata za wengine.
 
Natoa wito wanaChadema wote kususia gazeti hili la Majira-CCM lisilo na chembe ya ubinadamu kwa kifo cha mwenzetu.

Mkuu Molemo hili nalo gazeti la kusoma? Mara ya mwisho nililinua miaka 4 iliyopita nilipoambiwa jina langu lipo humo ili kujiunga na Chuo kikuu
 
jamani hawa wachumia tumbo wa majira wala wasitupotezee mda ,nao watapita tu,heko zitto kwa kuwapa kavu yao washenzi wa kwanza hawa.
 
Natoa wito wanaChadema wote kususia gazeti hili la Majira-CCM lisilo na chembe ya ubinadamu kwa kifo cha mwenzetu.

Mkuu Molemo,nakuunga mkono kwa asilimia mia.Nimepata mshtuko mkubwa baada ya kusoma upuuzi wa gazeti la majira.Walishindwa tu kuungana na Chadema katika kipindi hiki kigumu? Nakubaliana na Molemo wanaChadema wote kususia gazeti hili la Majira.
 
Zitto Kabwe


Ona Watanzania na baadhi ya vyombo vya habari. CHADEMA imepata msiba mkubwa, imefiwa na Mwanachama, Mbunge, Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Kivuli wa Kazi na Ajira. Lakini Gazeti la Majira linabeba habari ya kwanza 'Zimwi la kugombea Urais CHADEMA'! Hata staha ya msiba watu wanakosa. Nimeshangazwa sana na gazeti la Majira kuumbua zimwi lisilokuwepo. Sigombei Urais 2015. Nitamwunga mkono mgombea wa CHADEMA



https://www.facebook.com/zittokabwe

Haya ndio magazeti ya makanjanja....pumbavu!! watu wasiothamini uhai wa mtu mwingine ni majoka,ni vibaraka wakubwa wa yule joka ibilisi,ambaye anafanya kazi kuua roho zetu.Nashukuru kwa kauli thabiti ya Zitto.
 
shame on them(majira management & staff) don't they have feelings? how inhuman they are? hope they will change for better. R.I.P RMtema
 
Viva Zitto Kabwe! Ni bora umekuwa mkweli na hakika wewe ni kiongozi! Pamoja for life.
 
Gazeti tuliloliamini sasa limekuwa pandikizi na lenye kufuata maslai ya watu wenye dola.
Majira badilikeni, mmekuwa ovyo sasa.
 
Aibu kubwa kwa Mhariri wa Majira na staff yake kwa ushenzi huu walioonyesha mbele ya jamii.Kama ni kukubali kutumiwa basi iko siku watakubali kutumiwa kinyume na maumbile.Kumradhi nina hasira kwani ni kipindi kigumu sana kwetu
 
Haihitaji kuw genius kutambua kwamba habari hii ni ya kutunga na imeandikwa
kishabiki na kwa kukurupuka tu.
Kwa mara ya kwanza leo nimenunua majira,....nime wadharau sana.
Hata habari inayo mhusu regia wameandika kwa kukurupuka kweli sijui hawakuwa na
ratiba ya kutoa gazeti leo?
 
Nimekupata Zitto! Utamuunga mkono mgombea wa CDM hasa akiwa ZITTO ZUBER KABWE! Funny!
 
Back
Top Bottom