Dua
JF-Expert Member
- Nov 14, 2006
- 3,229
- 662
Kuna madai kuwa Angola inapeleka askari 2,500 Zimbabwe kumsaidia Bob "kupambana" na wapinzani!
Kama ni kweli basi muda wa Mugabe ndio umekwisha. Angola wanaongea kireno na ni wachache sana ambao wanaongea kiingereza watakuwa na wakati mgumu sana.
Kama ni hivyo hao watakuwa wameongezwa kwenye jeshi lake maalum la 'Presidential Guards' ambao walijengewa nyumba za kuishi na kifahari kule karibu na Kuwadzana mwanzoni wa miaka ya 1990.