Hakika mapenzi yetu hayaoni mbele kabisa!...
Jamani mimi nimetazama mfumo mzima wa power sharing na Mugabe ndiye katoka mshindi..Morgan alichokipata ni kuingiza watu wake 15 ndani ya baraza la mawaziri jambo ambalo halijengi kitu chochote ikiwa wizara zote kubwa na muhimu ziko chini ya Mugabe...
Hawa jamaa wote ni mfano mzuri wa viongozi tuliokuwa nao Afrika. Kama sio mkoloni mweusi basi ni kibaraka na hakuna zuri kwa mwananchi masikini wa Zimbabwe zaidi ya kuendelea kutawaliwa..
Hiyo Kenya leo hii hatusikii kitu lakini kwa wananchi wa Kenya wanalia kilio kikubwa sana kwani maisha ya Kenya yamekuwa ghali kuliko wakati wowote ule..Kenya inabomoka taratibu, hiyo Nairobi ya mwaka 1900 (London ndogo) sio hii tena..Bei ya mafuta (Gas = Petrol) ni karibu mara mbili ya bei ya Tanzania pamoja na kwamba wao wana Oil refinery plant...
Raila, kama JK haonekani tena mitaa ya maskini....Msisikie jamani hizi habari za ku sign agreement na devil hata siku moja haziwezi kuwa na matunda unless devil kanyoosha mikono..
Miaka yote sharing ya Power imetumika tu pale pande mbili zinapopigana (vita) na wameshindwa kutumia uchaguzi (demokrasia) kumpata kiongozi. Na kwa sababu mara nyingi vita hivi vimetokana na makabila (wananchi) ndio maana wametumia njia hiyo kuhakikisha hakuna kabila litakalo kuwa chini na kunyanyasika sio swala la chama au kiongozi fulani.
Leo hii chini ya demokrasia ya kweli, mahala wananchi wamemchagua rais wao kisha hao hao watawala wana strike a deal against kura za wananchi!.. na ajabu sisi wananchi tunapongeza na kukubali power sharing ati it's a good move, when demokrasia itaweza kuchukua nafasi yake ikiwa power sharing imeanza kukubalika na kupokelewa kwa vishindo.
What is the use of voting?...Upuuzi mtupu ama kweli ndivyo tulivyo!