Zimbabwe raha sana, wanawake wanabaka wanaume!

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,831
1,164
Wakati huku kwetu mtu anaweza kumaliza zaidi ya wiki mbili kumfuatialia demu vidume vya Zimbabwe vinakula kulainii baada ya kuibuka neema ya wimbi la wanawake wabakaji. Source: bbcswahili.com
 
Wakati huku kwetu mtu anaweza kumaliza zaidi ya wiki mbili kumfuatialia demu vidume vya Zimbabwe vinakula kulainii baada ya kuibuka neema ya wimbi la wanawake wabakaji. Source: bbcswahili.com
nyie ndo wale mnaopigia chabo mbuzi nyie!!!
 
wakati huku kwetu mtu anaweza kumaliza zaidi ya wiki mbili kumfuatialia demu vidume vya zimbabwe vinakula kulainii baada ya kuibuka neema ya wimbi la wanawake wabakaji. Source: Bbcswahili.com
sidhani kama kuna mwanamke angekubaka hata ulale barabarani uchi mwaka mzima ukiwaita na loudspeaker
 
Mwanaume kubakwat ni ngumu sana, unadhani watafanyaje mapenzi ka nanii haijasimama 7bu ya kutokuwa willing?!
 
Back
Top Bottom