Zimbabwe PM Jeered by UK Exile

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
5,565
836
Yahoo!- Video yake hii hapa.


by Guy Jackson – Sat Jun 20, 1:05 pm ET
LONDON (AFP) – Zimbabwe's Prime Minister Morgan Tsvangirai was booed and shouted down by exiles during a speech in London on Saturday when he pleaded with them to return home to help rebuild the shattered country.
Tsvangirai told a stormy audience of 1,000 people in Southwark Cathedral that "Zimbabweans must come home," but they said that 85-year-old President Robert Mugabe must quit first.
Failing to make himself heard above the boos and chants of "Mugabe must go," Tsvangirai left the pulpit for two minutes before returning to face questions.
He said, "I did not say 'pack your bags tomorrow,' I said 'you should now start thinking about coming home'."
Boos also rang out when Tsvangirai insisted that the four-month-old unity government of his Movement for Democratic Change (MDC) and Mugabe's ZANU-PF had "made sure that there is peace and stability in Zimbabwe."
Many people shouted "not yet".
In a question and answer session, some exiles asked Tsvangirai what the government was doing to help Zimbabweans who had been "traumatised" by violence.
He said: "If there is anyone who has been traumatised, it is me."
After briefly answering several more questions, a shaken-looking Tsvangirai was ushered away by his bodyguards amid a fresh hail of boos.
One exile in the crowd, Alex Chigumira, 42, who fled Zimbabwe eight years ago, said: "We can already see that Tsvangirai has adopted the politics of Mugabe.
"He is unrealistic. What he forgets is that people here are traumatised, that is why they are in Britain.
"I do not think I would return to my country while Mugabe is still in power."
Nysha Muzambi, 33, said: "Mugabe is the reason we fled the country. When he goes, we will come."
In an interview on Saturday with the Daily Telegraph, Tsvangirai said he had an "extraordinary" working relationship with Mugabe, his one-time bitter enemy.
Tsvangirai insisted that the veteran president -- who previously tried to crush the MDC -- was "an indispensable, irreplaceable part of the transition".
"It is a workable relationship, surprisingly. Yes, I am actually surprised. Who would have thought that sworn opponents like us could sit down and talk about what's good for Zimbabwe? It's an extraordinary experience," he said.
London is Tsvangirai's final stop on a tour of Europe and the United States to drum up support for the 'new' Zimbabwe.
Britain has sounded a cautious note, saying it will support the inclusive government despite its concerns about Mugabe but that it will not lift sanctions until Harare proves it is on a path to democracy.
Amnesty International said this week that Zimbabwe was suffering "persistent and serious" human rights violations despite the formation of the unity government.
Tsvangirai is expected to hold talks with British Prime Minister Gordon Brown on Monday.
 
Last edited:
Kuna mabadiliko fulani duniani husubiri mtu fulani arudishe namba kwanza.

Amani Msumbiji ilipatikana baada ya Samora kurudisha namba.

Bila Mugabe kurudisha namba Amani Zimbabwe itakuwa ni neno la kuandikwa na kutamkwa tu.
 
Kuna mabadiliko fulani duniani husubiri mtu fulani arudishe namba kwanza.

Amani Msumbiji ilipatikana baada ya Samora kurudisha namba.

Bila Mugabe kurudisha namba Amani Zimbabwe itakuwa ni neno la kuandikwa na kutamkwa tu.

....Je, namba hiyo itakuwa ya nani kwa Bongo yetu?
 
Matatizo ya Zimbabwe sio Mugabe, tatizo niwazungu waliponyang'anywa Land, walipomtumia opositio party kwaajili ya maslai yao wazungu mzee Mugabe ndo akaja juu, Hivi wzungu ndivyo wanavyo abuse democracy kwenye third world.
Na CCM wakinyima wazungu maslai yao (madin na resources nyingine) ndo wataanza kusupport wapinzani
 
Matatizo ya Zimbabwe sio Mugabe, tatizo niwazungu waliponyang'anywa Land, walipomtumia opositio party kwaajili ya maslai yao wazungu mzee Mugabe ndo akaja juu, Hivi wzungu ndivyo wanavyo abuse democracy kwenye third world.
Na CCM wakinyima wazungu maslai yao (madin na resources nyingine) ndo wataanza kusupport wapinzani

Hakuna anayepinga kuwa tatizo ni wazungu (ingawa ukweli tatizo ni uchumi sio wazungu, na uchumi ameuharibu Mugabe), Mugabe ni tatizo kubwa zaidi kuliko wazungu. Kama wazungu ni tatizo haliwezi kushughulikiwa vizuri Mugabe na rafiki zake wakiwa madarakani.
Tusiwe wabaguzi wa rangi kama Mugabe mwenyewe.!
 
Hakuna anayepinga kuwa tatizo ni wazungu (ingawa ukweli tatizo ni uchumi sio wazungu, na uchumi ameuharibu Mugabe), Mugabe ni tatizo kubwa zaidi kuliko wazungu. Kama wazungu ni tatizo haliwezi kushughulikiwa vizuri Mugabe na rafiki zake wakiwa madarakani.
Tusiwe wabaguzi wa rangi kama Mugabe mwenyewe.!

Ktk larger picture ukweli ni kuwa Mugabe aliiongoza Zimbabwe ktk kipindi cha neema kubwa ya kiuchumi na mpaka Zimbabwe ikafananishwa na Switzerland ya Africa. Matatizo kama alivyosema mdau hapo juu ni kuwa ukishavunja bond na mirija ya wazungu wanyonyaji kitakachokufuata baada ya hapo ni kupata misukosuko kibwena. Mugabe aliamua kuchukua ardhi kubwa yenye rutuba iliyokuwa imerithishwa mikononi mwa wazungu wachache na hapo maslahi ya wazungu yalipoguswa effect yake imeonekana.

Hebu tazama hali ya Iran baada ya kuondolewa Shah. Tazama sasa hivi wanavyomanipulate 'wapinzani' kuanzisha chokochoko huko Iran..

Mazee nilishaacha kuangalia mambo juujuu kitambo sana kuhusu hawa ze mzunguz na jinsi wanavyoweza kutumia media kutuaminisha hata yale yasiokuwepo.

Alichofanya Mugabe ndicho kilekile kilichofanyika enzi za Nyerere kwa kutaifisha mali kwa masilahi ya umma.
 
Amani Msumbiji ilipatikana baada ya Samora kurudisha namba.

Kuweka rekodi vyema, si kweli kuwa baada ya Samora kufariki ndio amani ilipatikana Msumbiji. Ilichukua miaka mingi mpaka pale uchaguzi huru ulipofanyika na Alfonso Djakama kukubali matokeo ya kushindwa na Chissano. It is process kupata amani na kila upande lazima ukubali ku-compromise kwa faida ya taifa badala ya kila mtu kuvutia kwake.

Savimbi yeye pamoja na uchaguzi kufanywa na yeye kushindwa akapewa umakamu wa rais lakini akaona haitoshi..then akavuna alichopanda.

Hao mabeberu waliokuwa wanawasapoti nao huchoka au serikali mpya ya mtazamo tofauti nazo huingia madarakani na ku-reshuffle mambo..hiyo nayo inaweza kuwa ilichangia.
 
I dont like Tsvangarai's political behaviour, but I have watched him interviewed on BBC and what I can say is that hes quite a smart and confident guy!
 
Back
Top Bottom