Zimbabwe na US dollar inawezekana vipi?

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,509
7,532
nasikia kuwa nchi ya Zimbabwe kwa sasa inatumia dollar ya Marekani kama fedha yao. je hili linawezekana vipi kwa maana nchi inapata wapi supply ya dollar nyingi kiasi cha kuwezesha kila raia kuwa nazo na kufanya manunuzi? maana siamini kuwa wanaingiza kiasi kikubwa cha fedha za kigeni na maana dollar kiasi cha central bank yao kuweza kuzisambaza kama pesa yao? je hii inaathari kiuchumi? kama haina athari nchi kama TZ hatuwezi kuiga hii kupambana na mfumuko wa bei unaotokana na uagizaji bidhaa kutoka nje?
 
Thought wanatumia SAR....
 
Back
Top Bottom