Zilizokuwa Dawa za CCM, Ndizo Sumu Zinazoiua CCM!

Wanaotetea serikali hii na wale wenye maslahi. Haiwezekani wanatuficha na propaganda za slaa kumiliki kadi huku hawatuelezi wamiliki wa dowans, wenye akaunt uswis wala waliosafirisha wanyama hai. Huu ni ujinga sidhani kama nape hawezi kutuambia ukweli juu ya haya.
 
Shule za sekondari zimejengwa kila kata nchi nzima na sasa darasa zima linalomaliza elimu ya msingi wana uhakika wa kupata elimu ya sekondari
 
Serikali ya kikwete inazidi kuboresha miundombinu ya usafiri kwa kujenga viwanja vya ndege kila mkoa na hivi majuzi kiwanja cha ndege cha mkoa wa mbeya kimezinduliwa
 
Mbowe na joseph selasini mbunge rombo walimsifia sana kikwete hivi majuzi wakati anazindua barabara huko kilimanjaro,vijana wa bavicha heshimuni baba zenu acheni kubweka ovyo
 
hata tukisema hadi mate yawe damu, hii serikari haiwezi kugeuka kuwa imara, imekula kwetu miaka 10, tusifanye kosa tenana 2015
 
Watetezi wa Serikali ya JK, watadai Rais ni msikivu, watadai Rais ni muumini wa demokrasia na utawala bora!
Mimi nasema, hatujapata kuwa na Serikali dhaifu kama hii tangu Uhuru, ingawa imeingia madarakani wakati kodi inakusanywa zaidi, hazina ikiwa imenona zaidi.
Ni awamu ambayo sheria haziheshimiwi, WaTz hawaviamini vyombo vya dola, na ufisadi umeota mizizi zaidi, uongozi na kuteuliwa uongozi kunaitwa "kuula".
Nathubutu kusema kuwa iwapo tutapata Serikali kama hii 2015 hali itakuwa mbaya zaidi.

inaonekana dhahiri hujui serikali nini,wajibu wake nn kwko na wajibu wako nn kwnye serikali yako. Infact, ww sio mzalendo hapo ulipo upo kwaajili ya hii serikali unaongelea ushabiki wa vyama tu pima mambo yanayofanywa na gvt then thnk. Ww kwl kibaraka wa wasio thamini maendeleo ya nchi hii. "IF YOU DON'T STAND FOR SOMETHING, YOU'll STAND 4 ANYTHNG" MALCOM X. Kumbuka viongozi wetu wajuu wa cdm walivyomsifia Jk hasa wakt walipokwenda Ikulu,walikiri Rais huyu ni msikivu. Ww unataka kuleta mjadala usio na msingi. Think b4 u post.
 
Mbowe na joseph selasini mbunge rombo walimsifia sana kikwete hivi majuzi wakati anazindua barabara huko kilimanjaro,vijana wa bavicha heshimuni baba zenu acheni kubweka ovyo

Sifa hizo za barabara zinaondoa ukweli kuwa hatuwahi kupata serikali dhaifu kama hii?
 
this is all because of being lead by a foolish party with silly policies...chama dhaifu, rais dhaifu, mawaziri dhaifu nchi dhaifu...we r doomed..
 
Wanaotetea serikali hii na wale wenye maslahi. Haiwezekani wanatuficha na propaganda za slaa kumiliki kadi huku hawatuelezi wamiliki wa dowans, wenye akaunt uswis wala waliosafirisha wanyama hai. Huu ni ujinga sidhani kama nape hawezi kutuambia ukweli juu ya haya.

wewe ndio una maslahi na hao wanaolalamika mana huoni juhudi za serikali ambayo imejenga na kuboresha mtandao wa miundombinu ya barabara nchi nzima,shule za sekondari kila kata nchini,vyuo vikuu vimeongezeka na sasa viwanja vya ndege vinajengwa kila mkoa.unataka ufanywe nini?
 
Kwa sababu hiyo hii ni serikali imara kuliko tulozowahi kuwa nazo?
 
Serikali ya kikwete inazidi kuboresha miundombinu ya usafiri kwa kujenga viwanja vya ndege kila mkoa na hivi majuzi kiwanja cha ndege cha mkoa wa mbeya kimezinduliwa

Wakati huohuo serikali yake ikiwa haina ndege hata moja ! Shamefull !
 
this is all because of being lead by a foolish party with silly policies...chama dhaifu, rais dhaifu, mawaziri dhaifu nchi dhaifu...we r doomed..

Your a very fool one,you don't know wht ua talking. 2b given a freedom of speech so you get a chance to insult your President and your country? Kwl umelaaniwa,umeshindwa kujenga hata hoja. Mungu akusamehe bure
 
Kwa sababu hiyo hii ni serikali imara kuliko tulozowahi kuwa nazo?

ipi uliyokwisha wahi kuona inafanya hayo maendeleo kwa mujibu wa Ilani ya mwaka huu? Mlisema ahadi azitekelezeki leo anatekeleza mnabeza,mnataka mbebwe mgongoni?
 
Maandamano ya Mtwara, ni ujumbe kuwa hata wale waliodhaniwa kuwa vilaza wameshajua udhaifu wa serikali hii.

mtwara na lindi ilikuwa ni safe heaven ya ccm sijui undondocha umewatoka au wamepona kifafa? tusubiri muda ni hakimu mzuri.
 
Your a very fool one,you don't know wht ua talking. 2b given a freedom of speech so you get a chance to insult your President and your country? Kwl umelaaniwa,umeshindwa kujenga hata hoja. Mungu akusamehe bure
udhaifu wa uongozi si insult bt ts a fact..once a country is lead by poor leaders everything wont be in the right order.. and thats the reason as to why i concluded that ma country too is dhaifu.. i aint saying that the people are bt am talking about the current government...having a debt of 20 trillion shilling and sayn there aint nothing worry about if foolishness...having fake policies...increase in unemployment and all sorts of problems proves the udhaifu of our leader...quoting Mh Mnyika..TUMEFIKA HAPA TULIPO KWA UDHAIFU WA RAIS NA SERIKALI YA CCM...Mnyika was 100% right...sorry mwl bt u also need to reason sometimes.
 
Usiseme hatujawahi kupata serikali dhaifu kama hii,sema hatujawahi kupata Rais dhaifu kama huyu tangu uhuru.......
 
Hakika hua wanapewa Shavu. Hata wewe ukitaka jitoe akili na ujidhalilishe hadharan uone kama hutapewa hata u DC...!

hakuna anaayetete bila hoja nasio swala la U DC tunaangalia nn kiliahidiwa na kimefanyika mpk sasa. Ninyi hamna hoja na kazi yenu kuponda hata mazur yaliyofanywa.
 
Back
Top Bottom