omarilyas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2007
- 2,130
- 145
Sasa kama jambo hili lina ukweli nchi inaelekea pabaya, ndo maana nchi hii haisongi mbele, viongozi wakipatikana bila ridhaa ya wananchi hata mungu hawezi kutoa baraka zake. Tumuombe sana mora kwa nguvu zake hizo kura ziangamizwe na pia sisi tuwe tayari ku-take risk ili kulinda haki yetu.
WAO WANA PESA NA SHETANI SISI TUNA MUNGU, UPANDE UPI UTASHINDA?
Interesting.....