Zilipendwa

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
Sio vibaya kujikumbusha maraha ya enzi hizo...hapa JF.....nawasilisha....hapa TP OK JAZZ ilipokuwa juu...from left MBELU, NDOMBE OPETUM, MADILU, JOSKY ...nyuzi Franco, Papa Noel, Gerry Dialungama ,Simaro...
 
FULL LINE UP FROM LEFT TO DALIENTS ZITANI YA NTESSA,PEPE NDOMBE OPETUM,MADILU BIALU(SO YOUNG IN 1980),JOSKY KIAMBUKUTA LONDA
STRINGS FRANCO,GERRY,PAPA NOEL SAX MATALANZA


[ame]http://www.youtube.com/watch?v=OAQuXaO7nCw&NR=1[/ame]
 
Another one from Franco in 1976.....from left Wuta Mayi,Josky and Ndombe on vocals....strings led by Mavatiku Visi 'Michelino' and Franco on mid solo...maafro kibao

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=xG2H0O3hT1A&feature=related[/ame]
 
Haha haa FL1 nilikuwa shule lakini mdingi ndio alikuwa anayutwangia hizi nyimbo kwenye LPs....sadly there was no TV then...thanks to the web now we have these...enjoy your weekend....on sats pale La Prima Kikiii anatwanga hizi...
 
Hapa wanasherekea miaka 70 ya kuzaliwa Simaro Lutumba...mtunzi mkuu wa Franco kama sio Africa...Alain Mplela imitating Djo Mpoyi(RIP).....wimbo KADIMA ulitungwa na Simaro 1978....

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=pjJTI3y0PNk&feature=related[/ame]
 
FULL LINE UP FROM LEFT TO DALIENTS ZITANI YA NTESSA,PEPE NDOMBE OPETUM,MADILU BIALU(SO YOUNG IN 1980),JOSKY KIAMBUKUTA LONDA
STRINGS FRANCO,GERRY,PAPA NOEL SAX MATALANZA


http://www.youtube.com/watch?v=OAQuXaO7nCw&NR=1

AaaaaaH Hii Inanikumbusha babangu akiwa bado hajaoa aliupenda sana! teh teh teh

Enjoy Your
weekend-15.gif
 
Ukweli ni kuwa miziki mingi sikuhizi makelele kibao....hupati message ya wimbo kabsaa.....ijumaa mimi husikiliza hizi nazo Radio 1 whenever I can...
 
Back
Top Bottom