Zijuwe dalili za kabla ya kuachwa.

Nyingne hz hapa
Hakuagi akiwa anakwenda sehemu,
Ukipga cm hapokei akikuta mcd call anakausha
Akikuona hastuki anaona kawaida
Hakutambulishi tena kwa wenzie

Ukiona hvyo kumbuka ulishawh kuanao wangapi je walikuacha/uliwaacha?je uliumia?je hukusahau mpaka leo uko nae huyo?
Wazur ni wengi pia hukuzaliwa nae hyo mwache utapata mwenzie mzuriii
 
Dude! Kwani kuachwa ndio kuna dhihirisha kuwa umeyafaidi mapenzi?

Alianza kuonesha mabadiliko fulani ivi kidogo nami nikamtext. Ona mssg zenyewe.
"***** kiukweli umebadilika. Wala mm siachi kukulalamikia juu y tabia yko hiyo. Sijuwi ki2 gani kimekupata. Kw sasa nakuona kama unajilazimisha kuwa na mm. Kuwa free kwng ni bora kuliko kukosa furaha moyoni mwangu. But nakupa nafasi ya kuamua kama ni kuniacha kuendelea kuwa na mm."
Iliyofuatia ni hii
"Why dont I beleave my feelings which shows every type of trueth about U. The tears start to fall. Coz is u babe, U tearing me up and inside my heart. It surely that, now I am not in ur heart. Ni ukweli usiopingika hata ikawa utabisha. Na kwa kulijua hilo naona bora niwe alone kuliko kuendelea kudanganyika kwako".
Kiukweli nazijutia mssg hizo, na niliweza kumtumia kwasababu tu nilikuwa sijuwi maumivu ya mapenzi ila kama ningelikuwa nayajuwa ningelionesha kuwa namhitaji. Lkn kwa kuwa nilikuwa siyajuwi, niliishia kusema asinizinguwe. NILIJUTA.
 
...dah, hivi hamkuwahi funzwa "alalaye usimuamshe?" Si kweli zilizotajwa ni dalili za kuachwa bana. Haiwezekani siku zote ni fungate kwenye maisha ya mapenzi. We are all different. Sometime we need self "re-discovery" spaces
(Within boundaries)
 
nyengine...
*Kuchukiwa chukiwa bila ya sababu za juu yako.
*Kosa lako dogo kulikubwisha na kujiona kapata sababu ya kukusema.
*Kukufanya kama kitega uchumi chake (hufanya kama anakukomoa ktk matumizi unayowajibika kulipia wewe).
 
daaahh
sante mkuu...
lakini wengine wanaachana kwa
amani tu .....hakuna dalili ..
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Sio wote ndugu yangu,Mimi siku nilipoachwa na Mume wangu wala sikutegema kwanza nilikuwa nimefunga sunna siku ya Jumatatu Mume karudi na cake ya Love kanikuta najiaandaa kuswali nimemaliza naanza kufturu napewa cake yangu nikajua mapenzi motomoto baadae anamuita shehe aliyetufungusha nikajua pengine ni maongezi yao ya kawaida sikutilia maanani,after ten mnts naitwa sikushutka nilijua pengine Mumewangu alikuwa na shida nakaa nimsikilize alichoniitia namsikia anamwabia yule shekhe nimekuita nataka uwe shahidi nampa mke wangu talaka, iliandikwa mbele yetu kwanza nilihisi koo limeishiwa mate,Nikamuuliza kulikoni ama kuna kitu nimekukwaza anasema hakuna yule ustaadhi anamuuliza talaka iandikwe na sababu ya kumuacha anasema hakuna sababu,Basi nilichukuwa karatasi yangu nikajikalia eda yangu ilipoisha nikamtimka kwetu.SIKUONA DALILI YA WINGU WALA MANYUNYU
 
....khaaaa?!!!
hivi mume kama huyu akiomba kukurudia, utamkubali?
 
Dah!! Aisee pole sana hata sina cha kusema
 
Mhh! pole sana, inakuwa kama igizo hivi
 
maisha yana vimbwanga jamani...yaani duniani hapa vurugu tupu...pole sana mpendwa.
 
Makubwa jamani...na huyo ustadhi anakubali tu kuandika talaka bila sababu yoyote?Bila kuhoji na kutafuta suluhu?Kweli Mungu anapenda mambo ya kuachana namna hii kwa vile tu umemchoka mwenzio?Tena bila kumwambia sababu unamtwisha mzigo wa kufikiria zaidi ana kasoro gani?Mungu turehemu...
 
Sio wote ndugu yangu,Mimi siku nilipoachwa na Mume wangu wala sikutegema kwanza nilikuwa nimefunga sunna siku ya Jumatatu Mume karudi na cake ya Love kanikuta najiaandaa kuswali nimemaliza naanza kufturu napewa cake yangu nikajua mapenzi motomoto baadae anamuita shehe aliyetufungusha nikajua pengine ni maongezi yao ya kawaida sikutilia maanani,after ten mnts naitwa sikushutka nilijua pengine Mumewangu alikuwa na shida nakaa nimsikilize alichoniitia namsikia anamwabia yule shekhe nimekuita nataka uwe shahidi nampa mke wangu talaka, iliandikwa mbele yetu kwanza nilihisi koo limeishiwa mate,Nikamuuliza kulikoni ama kuna kitu nimekukwaza anasema hakuna yule ustaadhi anamuuliza talaka iandikwe na sababu ya kumuacha anasema hakuna sababu,Basi nilichukuwa karatasi yangu nikajikalia eda yangu ilipoisha nikamtimka kwetu.SIKUONA DALILI YA WINGU WALA MANYUNYU

naomba kuuliza - hivi mume akikupa talaka kwa staili hii - ni lazima ukubali??? suppose unamwambia sheikh mie bado nampenda mume wangu na talaka siitaki inakuwaje??? just wondering................. kwani kuna mambo mengi yanayoendanda na talaka - arrangements za kugawana mali - kama kuna watoto mipangilio yao...........etc. naomba kuelimishwa hapo especially kwa jinsi ilivyotokea kwa Mamkhande.
:help:
 
Pole sana dada. Huyo sijuwi hata alikusudia nini kwako. Kwa wengine kutokana na kitu kama hiki kinakuwa ndiyo mwanzo wa kubogronga na kuwa muendelezo mbaya wa maisha yao. Coz hii kitu ni yaidi ya maumivu. Pole sana dada
 
Sio wote ndugu yangu,Mimi siku nilipoachwa na Mume wangu wala sikutegema kwanza nilikuwa nimefunga sunna siku ya Jumatatu Mume karudi na cake ya Love kanikuta najiaandaa kuswali nimemaliza naanza kufturu napewa cake yangu nikajua mapenzi motomoto baadae anamuita shehe aliyetufungusha nikajua pengine ni maongezi yao ya kawaida sikutilia maanani,after ten mnts naitwa sikushutka nilijua pengine Mumewangu alikuwa na shida nakaa nimsikilize alichoniitia namsikia anamwabia yule shekhe nimekuita nataka uwe shahidi nampa mke wangu talaka, iliandikwa mbele yetu kwanza nilihisi koo limeishiwa mate,Nikamuuliza kulikoni ama kuna kitu nimekukwaza anasema hakuna yule ustaadhi anamuuliza talaka iandikwe na sababu ya kumuacha anasema hakuna sababu,Basi nilichukuwa karatasi yangu nikajikalia eda yangu ilipoisha nikamtimka kwetu.SIKUONA DALILI YA WINGU WALA MANYUNYU

pole sana, haya mapenzi haya! Laiti yangekuwa yanaonekana yalipo.
 
naomba kuuliza - hivi mume akikupa talaka kwa staili hii - ni lazima ukubali??? suppose unamwambia sheikh mie bado nampenda mume wangu na talaka siitaki inakuwaje??? just wondering................. kwani kuna mambo mengi yanayoendanda na talaka - arrangements za kugawana mali - kama kuna watoto mipangilio yao...........etc. naomba kuelimishwa hapo especially kwa jinsi ilivyotokea kwa Mamkhande.
:help:

Kwa mujibu wa uislamu kwanza talaka haina haja ya kuwepo hata shekhe na ikitoka ndiyo imetoka na wala hakuna aliye na uwezo wa kuipinga ikiwa tu imefuata utaratibu (mfano isiwe ile ya kulazimishwa ukajiona huna jinsi) unless talaka hiyo itolewe wakati mke ana ujauzito ndo haitokubalika. Na mambo mengine kama yakupeana haki zao ktk mali ndo yatafuata
 
pole dada chetundu kila jambo linalotokea lina maana na sababu zake usijali hayo yaliyotokea MUNGU hutujalia mahitaji yetu wala si matakwa yetu . usjali saaana
 
Back
Top Bottom