Zijui Sifa kuu tatu za Kikwete

Pundamilia,

I like your boldness, kuna some of yr arguments ni weak, lakini I respect yr bold stand, hiii misimamo kama yako na Mushi, soon itapunguza bendera fuata upepo ambao ni wengi sana hapa JF.

Keep it up & Salute!
 
Lakini kwa kifupi ni kuwa mama yako akishakwambia huyu ndiyo baba yako huna budi kumheshimu.
As long as watanzania walimchagua Mh. Kikwete kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hamna budi kumheshimu kama RAIS.

Watanzania walimchagua JK ili akatimize majukumu yanayoambatana ya kofia ya URAIS.Hawakumchagua ili akakumbatie wezi hapo ikulu.Sasa kama yeye mwenyewe ameshindwa kuiheshimu kofia aliyopewa,wewe unategemea nini??

Kamwe sitakaa kimya kuona Rais wa nchi yangu anadhalilishwa kwani ni wajibu wangu kutetea taifa langu.

Kama una energy kiasi hicho basi ni vizuri umtafute JK na umpe ushauri kwanza yeye mwenyewe ajirekebishe.Kama rais anakaa uchi na msuli,sisi tutasema rais kakaa uchi.Ni kazi yako wewe kumwambia ajisetiri maana wengi wameshapiga sana kelele hasikii.

Nitailinda nchi yangu Tanzania na nitawaheshimu viongozi waliopewa dhamana na wananchi.
Nitailinda nchi yangu na kuitetea wakati wote dhidi ya wadhalimu wachache.

Huwezi kuilinda nchi yako kwa kuwafumbia macho viongozi wanaoitafuna nchi na kuwaficha majambazi eti kwa kuwa walipewa dhamana na wananchi.Kwani hawakupewa dhamana kwa madhumuni ya kuifilisi nchi.

Nitajitahidi kujadiliana juu ya mustakabali wa nchi hii kwa uwazi bila ya kudharau mamlaka zote halali zilizowekwa kwa ridhaa ya wananchi
Ninaipenda nchi yangu na ninajivunia kuwa Mtanzania.

Haya yatakuwa sahihi endapo utaondokana na nidhamu ya woga na kuzungumza ukweli, na si kufungwa mdomo na cheo alichonacho mtu.
 
Mtambo,

abi.....hau de go dey go....a de say...he go say.....le me talk to he....

Pundamilia
uliposema Chuki/Jazba/husda/ukosefu wa hekima na busara
.........ni kwamba wewe unajitoa ktk kundi hilo,..........well mimi binafsi I may be in..............since it depends na uwezo wa mtu kunyumbulisha sensible arguments from another as posed by your claim........wapo wenye jazba sikatai lakini ku-generalize kuwa wana JF tuna hayo unayo claim bila ku-substantiate kwa umoja wake..........in my opinion wewe ndio una hizo chuki/Jazba/husda juu ya JF na umekosa hekima na busara for that matter.........kama kuna mtu alimwaga pumba ulitakiwa umuonyeshe kuwa hizo ni pumba......na sio ku-generalize watu hapa JF.

BABA YAKO NI BABA YAKO TU KAMWE HUWEZI KUMBADILISHA KWA LOLOTE. SUBIRI 2010 UONGEE NA SANDUKU LA KURA, VINGINEVYO DEMOKRASIA ILISHACHUKUA NAFASI YAKE, WENGI WALICHAGUA RAIS ALIYEPO OFISINI KWA SASA. NI VEMA UKAJIPANGA KWA 2010 KAMA KWELI UNAMAANISHA UNAVYOONGEA LAKINI HATA HIVYO WENGI NDIYO WATAKAOAMUA NANI AONGOZE NCHI.

.....kwanza, siko hapa kutetea/kupinga nani aingie/assingie madarakani through hiyo demokrasia.......I don't care nani yuko pale madarakani......ninacho-care hapa ni kuwaambia ukweli pale inapoonekana wamekosea na kuwashauri......and ofcourse kuwapongeza pale wanapofanya vizuri..........Ni imani yangu kuwa KUPIGIA KURA FACTS/UKWELI......ni Ushabiki na kutokuwa na uwezo wa kufikiri ama MVIVU WA KUFIKIRI........."the sky is BLUE" Period.....siwezi kuanza ushabiki wa kupiga kura eti sky ni ya kijani..........

KWAHIYO AKITELEZA KWA MTAZAMO WAKO ANATAKIWA ASIHESHIMIWE, HIVI MAMA YAKO 'AKITELEZA' HUTAMUHESHIMU?

Mama yangu akiteleza.....Nitamwambia ukweli kuwa Mama Umeteleza ili siku nyingine asiteleze...........lakini viongozi wetu hata tukiwammbia kuwa mahala fulani mmeteleza......hawataki kuamini mpaka aje Ernest & Young/mtu kutoka nje!!! ndio wanakubali.....na kuanza kutupiana lawama wao kwa wao( hao wazazi viongozi)..........nisipomuambia nitakuwa mnafiki..........wakati mtoto wao anawaambia kuwa Baba/Mama umeteleza "Houseboy" Sitta akasema.......no ni majungu.....lakini sasa wanahangaika na majungu!!!!....very interesting!!!

Majibu yako mengine naona umejichanganya sana tu
 
Heshima ninayo sana tena inawezekana hata wewe ni 5% of mine
ila ndugu yangu, Sina haja hata kidogo ya kumueshimu mtu ambaye ana upendo hata kidogo na familia zetu, na sitakaa hata siku moja nieshimu watu kama hao ndugu yangu
Wangekuwa wanajieshimu wasingekuwa wezi namna hiyo
Mwizi anajieshimu???
Unajua maana ya Heshima wewe au unaongea tu kwa sababu ndo unakoelekea huko kwenye mafisadi wenzio??

Narudia tena
Siwezi kuheshimu mwizi,wezi tena wasio na huruma ya vizazi vya tanzania bali wanajali kuvimbisha matumbo yao na kukaa kwenye makasiri yaliyojengwa kwa nguvu zetu walala hoi
Baba H upo? Tup3 mrejesho
 
Back
Top Bottom