mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,703
- 37,316
Sijaelewa vizuri kutokana na ulivyoandika ila naamini kwa kuwa yapo hayo.
Rudia tena, halafu hapo mwisho ulipotaja visoda umenichekesha sana.
Yaani ilikuwa hivi.
Ilikuwa asubuhi saa mbili, mimi napita hapo getini kwenda shule.kama unavyojua geti lolote kuingia kambini ni smart area, hivyo kama una baiskeri unashuka unatembea hatua kama hasini hivi baada ya kuvuka kizingiti unapanda unaendekea na safari.ndipo hapo nikiwa natembea nikapata wasaha mzuri wa kushuhudia hicho kisa.
Jamaa kaingia, getini kajieleza ila watu wakajifanya hawavijui visoda.akawashukia kwenye gari.mbona walimtambua.