Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

tz_army.jpg
alama na vyeo vya genral
Lt.-General-Paul-Ignace-Mella.jpg

5.jpg

Hii Njemba Inayosalimiana Na Handsome Boy Pinda Nina Uhakika Kabisa Kuwa Inatoka Kure Kure Vita Ni Vita Mura, Hakuna Kuremba Masare Yesambukile Isaka Na Moto ( Musoma / Mara ) Ebwana Jamaa Kasafiri Kwenda Hewani Na Anatisha. Poti Wenzangu Oyeeeeeeee......................Ni Sheeeeeeeeeedah!
 
Hii Njemba Inayosalimiana Na Handsome Boy Pinda Nina Uhakika Kabisa Kuwa Inatoka Kure Kure Vita Ni Vita Mura, Hakuna Kuremba Masare Yesambukile Isaka Na Moto ( Musoma / Mara ) Ebwana Jamaa Kasafiri Kwenda Hewani Na Anatisha. Poti Wenzangu Oyeeeeeeee......................Ni Sheeeeeeeeeedah!

Hujakosea Mkuu ..huyo ni Brigadia CHACHA wa Brigadi ya Kusini yaani Mikoa ya Ruvuma,Lindi na Mtwara.
 
ahsante sana kiongozi. Elimu haina mwisho hivyo nakushukuru kwa kuwa mstaarabu na hatimaye kunijibu. Naomba kama una ufafanuzi mwingine tupia coz naelewa si mimi tu ninayetatizwa bali ni wengi sana humu jf.

zimamoto ni jeshi kamili sio idara kama mchangiaji alivyosema,ni jeshi kwa sheria ya 2007
 
Ahsante sana kiongozi. Elimu haina mwisho hivyo nakushukuru kwa kuwa mstaarabu na hatimaye kunijibu. Naomba kama una ufafanuzi mwingine tupia coz naelewa si mimi tu ninayetatizwa bali ni wengi sana humu Jf.

ZIMAMOTO NI JESHI KAMILI SIO IDARA KAMA MCHANGIAJI ALIVYOSEMA,NI JESHI KWA SHERIA no 14 YA 2007
 
Kila jeshi linajtegmea kwenye vyeo vyake, jwtz wa v moja ni lance corporal,v mbil corporal,v taut sajin,v tatu na ngao ya taifa sajinitaji.warrant officer second class na warrant officer first class wanavaa kolokolo mkonon, hawa n non commissioned officers, nyota 1 second liuetenant, wa 2 ni first liuetenant,wa tatu n captain, anakuja mwenye ngao ya taifa began n major,ngao ya taifa na nyota 1 liuetenant canal,ngao na nyota 2 canal,ngao na nyota 3 brigardier general, mkas na ngao major general,mkas ngao na nyota moja liuetenant general,ngao mkas na star 2 ni genaral.. Mwsho kabisa ni rank ya field marshal tanzania hamna amanda mwenye cheo hiki..

Hapo nahisi kama kuna cheo kimesahaulika,hiki cha nyota 3 (Captain) hapo hakipo au sijaona vizuri?
 
Leo katika pitapita zangu nikakutana na mdaharo wa vyeo kati ya askari wa jwtz na polisi.mfano mwenye nyota mwanajeshi na mwenye nyota askar polis kuna tofauti na kama ipo kuna sababu ya kumpigia mwenzake salute
 
Naamini humu JF askari wa majeshi mbalimbali wapo. watupe elimu kwa hili
 
Mm natak kujua mepama coz nna dream ya kuingia jwtz,nipo DIT sasa ni mwanafunz wa electrical engineering
 
sasa majeshi tofauti watapigianaje salute shehe?

Askari hufahamiana vyeo vyao "seniority" kwa kuangalia vyeo vyao mabegani au ubavu wa mkono wa kushoto. Askari wa majeshi yote iwe ni TPS (Tanzania Prisons Services), TPF (Tanzania Police Force) au TPDF (Tanzania People's Defence Force) hupigiana salute kwa kuangalia nani ana cheo kikubwa na si nani anatoka jeshi gani.

Mfano; Wanapokutana Sajenti wa Magereza na Koplo wa Polisi, ni wajibu wa Koplo wa Polisi kumpigia salute Sajenti wa Magereza. Wanapokutana Kepteni wa Jeshi na ASP wa Polisi/Magereza ni wajibu wa Kepteni wa JWTZ kupiga salute kwa maafande hao wa Majeshi mengine waliomzidi vyeo.

Na ikumbukwe, vyeo vya majeshi ni internationalwise. Kepteni wa US Army atampigia salute Brigedia wa nchi ndogo na masikini Mauritania.

Ila utofauti unakuja katika vyeo vya IGP, CGP na CDF..IGP na CGP vyeo vyao ni sawa na Meja Jenerali. Kwa hiyo CDF ni mkubwa kwa IGP na CGP kwa kuwa CDF ni Jenerali
 
yote ni majeshi isipokuwa wamepangiwa majukumu tofauti,kuhusu suala la saluti wanapigiana according to seniority,ndivyo navyofahamu mm raia ila askari wa pande zote tajwa tupeni elimu
 
Kuna kitu kinaitwa Cammission ambacho Rais ndiye mwenye maamlaka ya kuapisha na non gazetted officer ambacho hutolewa na mkuu wa police au wakuu wa vikosi hata mkuu wa majeshi..

Sasa ninavyoelewa vyeo vya jeshi kuanzia nyota moja hadi General huapishwa na Rais mwenyewe na hawezi kutuma mwakilishi hata siku moja na hiyo ndio international Rank..

Na kuanzia coplo na kuendelea hutolewa na mkuu wa majeshi na hawa huvishwa na wakuu wa vikosi

Sasa kwa case ya Police kuna wakuu wachache kwenye ngazi yao ambao huapishwa na Rais,

Kwahiyo wote ambao hawaapishwi na Rais hao huitwa non gazetted officer, na haruhusiwi kuasalutiwa na hata mwenye nyota moja kutoka jwtz ila kwa yyt wa police ambaye ni camissinal na kuendelea huyo lazima asalutiwe na jwtz offer rank..
 
Kuna kitu kinaitwa Cammission ambacho Rais ndiye mwenye maamlaka ya kuapisha na non gazetted officer ambacho hutolewa na mkuu wa police au wakuu wa vikosi hata mkuu wa majeshi..

Sasa ninavyoelewa vyeo vya jeshi kuanzia nyota moja hadi General huapishwa na Rais mwenyewe na hawezi kutuma mwakilishi hata siku moja na hiyo ndio international Rank..

Na kuanzia coplo na kuendelea hutolewa na mkuu wa majeshi na hawa huvishwa na wakuu wa vikosi

Sasa kwa case ya Police kuna wakuu wachache kwenye ngazi yao ambao huapishwa na Rais,

Kwahiyo wote ambao hawaapishwi na Rais hao huitwa non gazetted officer, na haruhusiwi kuasalutiwa na hata mwenye nyota moja kutoka jwtz ila kwa yyt wa police ambaye ni camissinal na kuendelea huyo lazima asalutiwe na jwtz offer rank.



Ni kweli ipo hivyo kwa maofisa wa jeshi (Jwtz) kuvishwa nyota na amiri jeshi mkuu.hii haimaanishi umekuwa mkubwa kuliko mwenye nyota zaidi wa jeshi lingine-maana ukumbuke raisi hutuma muwakilishi akafanye kwa niaba yake.

Hivyo basi,kama umezidiwa mawe utapiga tu,hata ukiwa umenuna.maana kama ataamua kukuwakia hutakuwa na notes za kumueleza.
 
Back
Top Bottom