Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zijue Mbinu zangu: Ufugaji Kuku wa Kienyeji

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Kubota, Feb 13, 2013.

 1. Kubota

  Kubota JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2013
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 28
  Wana Jf,

  Kuna maandiko mengi JF ya ufugaji Kuku wa Kienyeji! Nawasilisha kwenu wadau wa JF mbinu ambazo kwa mikono yangu nimezitumia kutatua changamoto za kuku wa kienyeji! Nimeandika kuwalenga wajasiliamali ambao hawana nguvu kifedha kujenga mabanda kisasa, mashine kutotolesha vifaranga, kutibu magonjwa wala kujenga wigo (fence) n,k. Naomba mzijue mbinu hizi nisije kufa nazo, huu ni mchango wangu kwenu watanzania wenzangu wale ambao mtakuwa hamjawahi kuzisikia mbinu hizi. Mbinu hizi baadhi nilisoma vitabuni nikazijaribu na kuziboresha kwa mazingira yangu duni! Mbinu zingine niliziona kwa wakulima duni kama mimi nikazitumia na kuleta mafanikio makubwa, mbinu zingine nilizigundua mwenyewe na nikafanikiwa sana. Hizi mbinu hazijafanyiwa utafiti rasmi lakini nimeweza kufanikiwa kuwa na kundi kubwa la kuku kwa haraka sana kupitia ujanja huu!!

  Mdau wa JF nakualika utembelee uzi huu mara kwa mara kila upatapo fursa ili uweze kufuatilia simulizi yangu maana itakwenda kwa vipande vipande. Mnakaribishwa kuchangia uzoefu wenu ili tuboreke zaidi.

  Mbinu hizi zitagusia zaidi: Utotoreshaji vifaranga vingi kwa mara moja bila kutumia mashine! Ukuzaji wa vifaranga vingi kwa njia rahisi na kwa haraka zaidi, ulinzi wa kuku dhidi ya wanyama maadui, kudhibiti kuku wasizurule, magonjwa niliyofanikiwa kuyadhibiti, ujenzi wa vibanda wenye kukidhi mahitaji mbali mbali. Ni utaalamu nilioupata kwa gharama kubwa na mahangaiko ya muda mrefu, nauleta kwenu ili sote tuendelee kukua pamoja kiujasilia mali.

  Stay tuned and keep on visiting this thread!!


  ===============
  UPDATE
  ===============


   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2013
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,892
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 48
  Mkubwa tunakusubiria bila shaka kabisa Kubota; kwani hakika ni na imani ni mbinu mbadala kabisa unakuja nayo mkubwa wangu! Hii uzi ninaisave left kabisa nikitegemea newz toka kwako! Asante sana! Hapa ndiyo Jf jamani!

   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2013
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,969
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mkuu uendeleze hapo hapo juu ulipo ishia
   
 4. bht

  bht JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2013
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,169
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 38
  tafadhali usikawie maana jahazi langu lazama....
   
 5. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2013
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,395
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Tusubiri mpaka lini mkuu, ni vema ungetuambia ili hata ukiwa out hata ukipata muda mfupi uingie jukwaani kupata updates!
   
 6. N

  Noboka JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2013
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 38
  Mie nilidhani tayari unazo kwenye uzi huu mbona mda unakwenda? na sie wengine tunazo mbinu mbadala labda ukiweka hizo za kwako tunaweza kuchangia kwa faida ya wasomaji wengine
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Feb 13, 2013
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,892
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 48
  Makala Jr; Ni vema angetuwekea nambari yake ya mkononi hapa!


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2013
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,206
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 48
  Karibu sisi wa kijijini tunakusubiri
   
 9. Kubota

  Kubota JF-Expert Member

  #9
  Feb 13, 2013
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 28
  Nyie wa kijijini ndiyo nimewalenga, nakuja wakubwa mnivumilie nikishalianzisha ni moja kwa moja bado namalizia paragraph moja tu!

   
 10. a

  abam Senior Member

  #10
  Feb 13, 2013
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 6
  mie bado sijaanza kufuga kuku wengi, nimeanza kufuga kuku wawili tu wa kujifunzia, nakusubiri sana nipate utaalam wako
   
 11. Y

  YAKO Senior Member

  #11
  Feb 13, 2013
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 8
  Sawa mkuu kubota tafadhali usikawie sana kurudi hewani.
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Feb 13, 2013
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 18,733
  Likes Received: 751
  Trophy Points: 113
  :whistle::whistle::whistle:
   
 13. yatima

  yatima JF-Expert Member

  #13
  Feb 13, 2013
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  waiting
   
 14. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #14
  Feb 13, 2013
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,060
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 83
  jamani anza basi na hata ujenzi wa banda?? mwenzio hapa nimetega macho na maskio yangu kwako
   
 15. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #15
  Feb 13, 2013
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 839
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Kubota, hiyo paragraph moja bado? Tuko wengi tunaosubiri.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Feb 13, 2013
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,969
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Anza kutafuta eneo, vifaranga vya kuanzia nione wanawake mkiwezeshwa mnaweza :becky:
   
 17. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #17
  Feb 13, 2013
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 18,733
  Likes Received: 751
  Trophy Points: 113
  In vain......Mr Kubota NEXT TIME UJITAYARISHE KABLA YA KUANZISHA UZI
   
 18. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #18
  Feb 13, 2013
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,060
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 83
  eneo ninali Fidel80 ishu kwangu ni moja tu nimefuga sana mabroila sasa nataka nigeukie kienyeji as siwez tena haya ya kizungu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #19
  Feb 13, 2013
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,675
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 38
  mwe nchi hii utani mwingi!
   
 20. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #20
  Feb 13, 2013
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,701
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  umekawia sana mkuu
   

Share This Page