Zijue mali za maselebu wa Bongo

Mbona ni vitu vya kawaida tu kwa mtu wa kawaida kumiliki - sio lazima uwe selebu ili uwe na kimeo (sorry Primeo)

hakuna aliyesema 'extra ordinary' properties za maseleb wetu wa bongo

its simply mali wanazomiliki.....
 
Kwa mantiki ya kuangalia wasanii wa tasnia hizo ulizozitaja toka siku za nyuma mpaka sasa, hili la kumiliki nyumba na gari ni mafanikio ya kupigiwa mfano. Na hasa maisha yetu ya kitanzania kwanza sehemu ya kulala kisha usafiri . Mambo ya kuwa na hisa London/Tokyo/New york stock exchange na lebo za kurekodia music hiyo ni maceleb wa huko nje.
 
Jamani please tuwapige tafu wasanii wetu kwa kununua kazi zao halisi.kidogo kidogo tu,naowatakuwa na Magorofa ya Thamani km mimi na wewe.
 
Jamani please tuwapige tafu wasanii wetu kwa kununua kazi zao halisi.kidogo kidogo tu,naowatakuwa na Magorofa ya Thamani km mimi na wewe.

sawa kabisa hatuwapi tafu ni lini wataendelea ..ukienda kwenye vijiwe vingi sasa kazi zao zimekuwa badala ya kununua CD original watu wana Burn kwisha habari yake
hapo vijana watanunuaje Mabenz?
 
Zinatosha sana na wamejitahidi. Kuna wanamziki wa bendi zetu za zamani kam msondo, maquiz, washirika bado ni ombaomba wa bia bar. ukiwalinganisha na hawa wa kizazi kipya kweli nijiridhisha kidogo.
 
Kwa kweli wamejitahidi, tena wakinamama! nadhani wanastahili sifa tena sana. lakini isje kuwa wamaejenga wanaume hizo nyumba. Yaani waliyumba!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom