zijaelewa hizi msg za best angu

pisces

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
240
61
jamaa amekua na tendence ya kunitumia text za usiku mwema, zaidi ya mara nne kwa wiki. Its not common kwa wanaume kutumiana msg za lala unono. Najiuliza ''is he gay?'' maana si kawaida mambo haya.
 
Inategemea una influence gani ktk maisha yake. Labda ni bosi wake. Sisi kuna mwalimu haishi kumtumia mkuu wa shule sms za lala unono. Also high possibility of being a gay.
 
Huyo block tu namba yake na umkwepe. Hata wadada hawana nafasi ya kutumiana msg za gnite bila kuwa na issue yoyote! Run for your dear soul!
 
He just care jamani. Why kuwa suspicious na kila binadamu mwenzako anachofanya kuwa ni kinyume na kawaida?
 
jamaa amekua na tendence ya kunitumia text za usiku mwema, zaidi ya mara nne kwa wiki. Its not common kwa wanaume kutumiana msg za lala unono. Najiuliza ''is he gay?'' maana si kawaida mambo haya.

maana gay haitofautishi kati ya mtenda na mtendwa, acha nitumie kiswahili tu;
Huyo jamaa atakuwa ni basha na ameshaanza kukutamani, chukua hatua.
 
Huyo block tu namba yake na umkwepe. Hata wadada hawana nafasi ya kutumiana msg za gnite bila kuwa na issue yoyote! Run for your dear soul!

hello Mugglin, mzima wewe? I love you, take care, usile vitu vigumu wala pili pili eeh.
Mtu wa namna hiyo tena wote wa jinsia moja unasubiri nini kum-block?
 
hahaa nimejikuta nacheka sana, kani yu show sms moja hapa 2idadafue
 
Jaman,maybe ni katika kumalizia xtreme sms zake kwa watu bana,so mayb ana4wad kwa wote..utakavozchukulia ndivo ulivyo wewe,unless otherwse! Ucmuwazie vbaya ukagombana nae bure!uchunguz muhimu pia, je mmezoeana vipi!
 
Back
Top Bottom