Nimekuwa nafuatilia malumbano ya vyama vya siasa kwa muda,ila nilichogundua ni kwamba mwananachama yoyote ndani ya hivi vyama haruhusiwi kuwa na mawazo tofauti na mwenyekiti wake,na ikatokea ya kuwa mwanachama ana mawazo tofauti na mwenyekiti,basi hapo ndipo unapoambiwa kuwa huna nidhamu.
Je watanzania wapenda demokrasia tukemee hii tabia ya aibu kabisa ambayo si tu inadidimiza mawazo ila inanyonga mawazo endelevu ya kizazi cha kuanzia mwaka 1970 mpaka miaka ya tisini
.
Je watanzania wapenda demokrasia tukemee hii tabia ya aibu kabisa ambayo si tu inadidimiza mawazo ila inanyonga mawazo endelevu ya kizazi cha kuanzia mwaka 1970 mpaka miaka ya tisini
.