sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 644
Akili kama za NAPE//////
Mtaji wa CCM ni ujinga wa watanzania,ndio maana wana ngome ktk mikoa hiyo ambayo wanaongoza kwa ujinga na umaskini
Mangi umepiga wapi mbege leo? Macho yamelegea mapema!
We gamba jipya unalaana ya ccm
Heshima kwako Gamba Jipya.
kwediembele ni kijiji kilicho ndani sana toka barabara kuu Dar - Tanga 40 km zipo bendera za CHADEMA,
Mkuu haya mambo ya daftari la wapiga kura ndiyo yalifanya msije kuchukua majibu ya urais, usiangalie majina kwenye daftari, angalia watu wanaokwenda kwenye kituo na kupiga kura, kwa utafiti uliofanyika na shilika lisilo la kiserikali la proxy data limebaidi watu wa coast waliojitokeza kupiga kura ni asilimia 87, wakati kanda ya ziwa ilikuwa asilimia 51.
Asante, ngoja tuendelee kutumia ngome zetu.
<br />Akili kama za NAPE//////
Kwani huko kuna vyuo?... hata ufunguzi wa matawi katika vyuo vilivyo maeneo hayo ni ndoto, ...
Mkuu haya mambo ya daftari la wapiga kura ndiyo yalifanya msije kuchukua majibu ya urais, usiangalie majina kwenye daftari, angalia watu wanaokwenda kwenye kituo na kupiga kura, kwa utafiti uliofanyika na shilika lisilo la kiserikali la proxy data limebaidi watu wa coast waliojitokeza kupiga kura ni asilimia 87, wakati kanda ya ziwa ilikuwa asilimia 51.
Asante, ngoja tuendelee kutumia ngome zetu.
Hapa mitaa ya daraja mbili niko na dogo Godbless yeye yuko chakali amevuta na ile kitu ya huku.
Hahahahaaaa......! Kweli wewe ni "GAMBA JIPYA"Hii mikoa ni ngome yetu, CDM hawakubaliki kabisa na uzuri ni kuwa hata wao wanalifahamu hili na ndiyo maana huwa hawaendi kwenye ngome hizi, hata ufunguzi wa matawi katika vyuo vilivyo maeneo hayo ni ndoto, ha hii ni over 20% ya kura Tanzania, Tunaingia 2015 tukiwa na mtaji wa kura milioni 5 za wanachama pamoja na asilimia 20% ya mikoa hii, jipangeni kwa 2025.
Walienda kuwapa pole wahanga wa maandamano Arusha.
Wakaenda kuwapa pole wahanga wa North Mara
Jiulize ni kwa nini hawajaenda kuwapa pole wahanga waliobomolewa nyumba na mabanda yao Znz?
Na kwa nini wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka jana waliikwepa sana mikoa hii?.
Mtwara, Lindi, Pwani, Tanga na Zanzibar ni maji marefu.
malaria sugu sikiliza, kule tunamtuma profesa safari, una jipya lingine????????
Hii mikoa ni ngome yetu, CDM hawakubaliki kabisa na uzuri ni kuwa hata wao wanalifahamu hili na ndiyo maana huwa hawaendi kwenye ngome hizi, hata ufunguzi wa matawi katika vyuo vilivyo maeneo hayo ni ndoto, ha hii ni over 20% ya kura Tanzania, Tunaingia 2015 tukiwa na mtaji wa kura milioni 5 za wanachama pamoja na asilimia 20% ya mikoa hii, jipangeni kwa 2025.