Ziara ya rais Kikwete Arusha yaahirishwa?

JK aagiza Moshi iwe Jiji 2015..agizo hilo la JK linatokana na uongozi wa Manispaa ya Moshi (MMC) kuwashtaki wenzao wa Moshi Vijijini (MDC) kwa rais kuwa ndio kikwazo cha kupanua kwa mji huo kuwa Jiji.

M
Moshi ni pazuri ila panakosa utamu kwa sababu ya A.Town. Watu wngi wanajua hat KIA ni ya Arusha. Tatizo lingine Moshi hawataki mchanganyiko na watu wengine, hivyo ni kama uwezo wao wa kupanuka umefikia kikomo.
Ukitaka kupata ardhi moshi hata vijijini lazima ijulikane we ni wa wapi?, nani kakuleta? na unahela za kunilipa ili nijenge nyumba kama ya Mengi pale Machame baba! Maswali kama haya yamefanya kuwa na majengo yasiyokalika na mengi sasa yamepitwa na wakati
 
Back
Top Bottom