Ziara ya prince charles zanzibar...

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,125
ZIARA YA PRINCE CHARLES ZANZIBAR...


DSC_0165.JPG

MTEMBEZA Watalii akitowa maelezo kwa Mwana wa Mfalme wa Uingereza Prince Charles, alipotembelea Mji Mkongwe wakati wa ziara yake Zanzibar.
DSC_0181.JPG

DSC_0180.JPG

MKE wa Prince Charles Camilla akiwasalimu Wananchi katika Mji Mkongwe wa Zanzibar alipokuwa na ziara ya siku moja Zanzibar.
DSC_0183.JPG

DSC_0171.JPG

WANANCHI wakimlaki Mwana wa Mfalme wa Uingereza Prince Charles alipotembelea Mji Mkongwe wa Zanzibar.
DSC_0190.JPG

DSC_0191.JPG



<tbody>
</tbody>
 
wajenge hata shule basi hapa visiwani sio kuja kutembea tembea tu ili hali walituchukulia vito vya thamani kibao nyakati hizo
 
I wonder what this monstrosity hating self appointed architecture critic thought about Zenj.
 
mi simpendi camela kwa kitendo chake
cha kuingilia nyumba ya mwenzie diana
hata kikasababisha mauti ya diana.
camela naye ni shangingi tu.
 
Back
Top Bottom