Ziara ya pinda shinyanga aibu nyingine mpya hizi hapa

Tna viongozi wa hovyo sijawahi ona mahali pengine,ndio maana wananchi wanalzimishwa kuchangia hizi ziara huko vijijini tena maeneo yenyewe yana umaskini wa ajabu bado wanakamuliwa tena.aaaaaaaaaaaaaaaargh !
 
Yote tisa -- hili la fisi bado halijatulia. unaweza ukafafanua hasa kile kilichotokea?
 
Ndio maana hata machizi/punguani nao wanaona wanaweza kuwa marais nchi hii.

Tutapata shida sana kurudi tulipokuwa kimaadili, in fact sidhani kama inawezekana. Huyu sio ndio mmoja watu waadilifu sana kwa viwango vya ccm? Lakini ukimeleta kwenye viwango nje ya magamba anapwaya namna gani!

We just want our Tanganyika back, so we can start afresh.
 
Hivi hao wamiliki wa fisi wana kibali kweli?
Mbona wengine wanasulubiwa kwa kumiliki mijusi tu! (niliipata hii kupitia power breakfast - clouds fm)
 
khaaa! hivi watu wengine wakoje?yaan watu wanafisadi mihela na bado wanaonekana mashujaa kwa kuzawadiwa na kuongewa vingine,:mullet:
 
yaani mtu anakamatwa kwa kushindwa kumpa PM mbuzi..kwani si akanunue wa kwake...watanzania tushazoea kupewa kila kitu
 
Inasitikisha maendeleo mnawanyima mifugo mnawalazimisha wawape dah
 
Hivi hao wamiliki wa fisi wana kibali kweli?
Mbona wengine wanasulubiwa kwa kumiliki mijusi tu! (niliipata hii kupitia power breakfast - clouds fm)

Kwani fisi ni nyara za serikali? Mi nilidhani wako kundi moja na mbwa wanaweza kufugwa tu Kama pet?!
 
Watanzania ni watu wapole sana huwa wanakaa kimya tu mfano;EPA/B.O.T/RiCHMON to DoWANS/KAGODA na fisadi nyingine Kama hizo zooote Watanzania wamejikalia kimya tu huku mafisadi nao wakipongezana"ni upepo tu utapita".Hata hili la mtoto Wa mkulima-feki ni upepo tu utapita tu,viongozi wetu imebaki tu kutuuza sie wananchi wao.
 
Basi wangemmilikisha mgodi. Kuna migodi mingi Shinyanga! Mmh Mtoto wa Mkulima hapa umeumbuka, mbuzi? mbuzi? Na waliokosa mbuzi ndani? Aibu! Hebu muipate hii, hata JK aliwahi kupewa ng'ombe Ukara Kisiwani, Ukerewe, shughuli ilikuwa kumsafirisha hadi Dar! Hivi kwa nini viongozi wa Afrika wanateswa sana na kula????

Sio JK peke yake, nakumbuka hata Mkapa alishawahi hongwa ng'ombe wa Maziwa na yule mama (RIP) aliyekuwa pale Puma-Singida ili asaidie registration ya Hospitali yake ambayo haikuwa na kiwango na kweli iliweza kusajiliwa ingawa haikuwa na sifa (Sidhani kama hata leo wamefikia kiwango)
 
wangempa zawadi ya fisi anaendeleze shughuli zake za jadi....... si kulazmisha wanakijiji maskini watoe vitowewo vyao(mbuz) kumzawadia

Weee ungependelea apewe zawadi ya fisi? Hebu fikiria ghafla.... hamadi uso kwa uso ..jicho kwa jicho wametizamana na fisi kweli patakalika hapo?
 
Back
Top Bottom