Ziara ya makamu wa Rais Mkoa wa Mwanza yawatosa Chadema

Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,757
437
Ratiba iliyotolewa ya makamu wa rais mkoa wa mwanza.
Ametua mwanza anakwenda kwimba anarudi kulala mwanza mjini
Kesho yake anakwenda Geita na Sengerema
Siku ya mwisho Magu na kuutubia mkutano wa wakazi wa mji wa magu kisha na kurudi Dar,
Cha ajabu,Pale anapolala mwanza mjini kula wilaya mbili Nyamagana na Ilemela hapo makamu wa rais Hakuna mkutano au kukutana na wakazi wa maeneo hayo
Pili wilaya ya Ukerewe hafiki hapo.Swali kwa kuwa maeneo hayo yanaongozwa na Chadema.? ndo maana hakutani nao.Kwanini?
 
Bilali hana jipya acha akamilishe wiki ya maji arudi zake dar kwani mza hatudanganyiki!
 
Kaende zake huko hako kazee ka zanzibar. Hakana faida yeyote na mwanza.
 
Pia hatumuhitaji sisi wananchi wa Ng'wanza kwani hakuna atakachotuongezea. Atapiga siasa na kuondoka huku sisi tukibakia na umaskini wetu. Hapa kwa viongozi wa CCM hapaingiliki, JK mwenyewe ana AMANG'ANA YASIRIKIRE hawezi kuja
 
Ratiba iliyotolewa ya makamu wa rais mkoa wa mwanza.
Ametua mwanza anakwenda kwimba anarudi kulala mwanza mjini
Kesho yake anakwenda Geita na Sengerema
Siku ya mwisho Magu na kuutubia mkutano wa wakazi wa mji wa magu kisha na kurudi Dar,
Cha ajabu,Pale anapolala mwanza mjini kula wilaya mbili Nyamagana na Ilemela hapo makamu wa rais Hakuna mkutano au kukutana na wakazi wa maeneo hayo
Pili wilaya ya Ukerewe hafiki hapo.Swali kwa kuwa maeneo hayo yanaongozwa na Chadema.? ndo maana hakutani nao.Kwanini?
Hivi unapozungumzia Makamu wa Rais unammanisha yupi hasa hapa atakayeenda ziarani Mwanza; Dr Omar Ali Juma au Dr Ali Mohammed Shein au huyo Mwanaharakati wa dini ya Kiislamu nchini tuliempata majuzi????
 
mmm Dr Omari?, DR wanyukilia
 
Yuko matembezi kama kawaida na si ziara. Kwani ziara zinafaida gani na sisi hizo? si afadhali hata yale maandamano yalileta uafueni?
 
Ratiba iliyotolewa ya makamu wa rais mkoa wa mwanza.
Ametua mwanza anakwenda kwimba anarudi kulala mwanza mjini
Kesho yake anakwenda Geita na Sengerema
Siku ya mwisho Magu na kuutubia mkutano wa wakazi wa mji wa magu kisha na kurudi Dar,
Cha ajabu,Pale anapolala mwanza mjini kula wilaya mbili Nyamagana na Ilemela hapo makamu wa rais Hakuna mkutano au kukutana na wakazi wa maeneo hayo
Pili wilaya ya Ukerewe hafiki hapo.Swali kwa kuwa maeneo hayo yanaongozwa na Chadema.? ndo maana hakutani nao.Kwanini?

Mzee anajustify expenditure. Asiposafiri watapataje hizo per Diem na kufuja kodi zetu?
 
Anaogopa kukosa watu wa kumsikiliza ktk mikutano yake, kwanza ktk wanasiasa wasio na mvuto ktk siasa za huku bara Bilal. Hivyo wana ccm huko mwanza lazima walisoma upepo na kuweka ratiba itakayomuepusha na sehemu za upinzani.
 
Hivi unapozungumzia Makamu wa Rais unammanisha yupi hasa hapa atakayeenda ziarani Mwanza; Dr Omar Ali Juma au Dr Ali Mohammed Shein au huyo Mwanaharakati wa dini ya Kiislamu nchini tuliempata majuzi????

Kanisa limechukia sana kukosa nafasi hizi.
 
Ratiba iliyotolewa ya makamu wa rais mkoa wa mwanza.
Ametua mwanza anakwenda kwimba anarudi kulala mwanza mjini
Kesho yake anakwenda Geita na Sengerema
Siku ya mwisho Magu na kuutubia mkutano wa wakazi wa mji wa magu kisha na kurudi Dar,
Cha ajabu,Pale anapolala mwanza mjini kula wilaya mbili Nyamagana na Ilemela hapo makamu wa rais Hakuna mkutano au kukutana na wakazi wa maeneo hayo
Pili wilaya ya Ukerewe hafiki hapo.Swali kwa kuwa maeneo hayo yanaongozwa na Chadema.? ndo maana hakutani nao.Kwanini?

kwani yeye hasomi alama za nyakati?unataka aweke mkutano nyamagana aje aongee na maspika?nani audhurie?hatudanganyiki!
 
shairi la dr slaa
Jina langu ni Slaa, mzee mwenye balaa
Watu wanishangilia, kwa zangu nyingi hadaa

Nawadanganya kwa nia , napeta mwanangu shaa
Niacheni nijisifieeee

Sifa nitawatajia, hadi hapa kufikia
Umalaya ndio njia, kuu niliyotumia
Wake zenu nachukua, ma-first lady kua
Niacheni nijisifieeee

Ya pili niwatajie, sifa niloshikilia
Muongo niliyepea, mchochezi na mmbea
Haya yanisaidia, wafuasi wamejaa
Niacheni nijisifiee

Na wivu umenijaa, kwa JK hasaa
Raisi aweje kua? Mkwere huyu kichaa
Nitaanzisha balaa, nchi tushindwe kukaa
Niacheni nijisifiee

Bado ninategemea, ushindi nitachukua
Kanisa naegemea, litanibeba kwa nia
Ndimi dakta theologia, Wilbroad Slaa
Niacheni nijisifieee

kashaga sasa washaga. Gira amakune. Uyo ni mtu na staha zake hapa kafikaje?jaman.
 
kwani yeye hasomi alama za nyakati?unataka aweke mkutano nyamagana aje aongee na maspika?nani audhurie?hatudanganyiki!

Kama Makamo wa Rais anawatosa hata hao wachache waliompigia kura huko Ilemela na Nyamagana basi kuna tatizo kubwa katika kukubali siasa za vyama vingi na matokeo yake...
 
Back
Top Bottom