Ziara ya KM wa CCM W. Mukama Kanda ya Ziwa: Matukio na Yatokanayo

Makondo,
mimi nilizaliwa 1980, kwa hiyo had 1986 niliweza kuona hiyo vita ikiishia kaka, nakumbuka siku moja tulikimbizwa kutoka nyakitono kwenda natta kujificha eti kabila fulani wankuja na bunduki kuchukua ng'ombe wetu.loo nakumbuka mimi na wadogo zangu tulivyojificha vichani siku nzima aisee, yaani wenye kuijua serengeti tuliyotokea enzi zile hawawezi kutamani ukabila tena.
hata watu wa humu jf wanonifahamu, wajue nimepita kona mbaya sana ya life na hii ni sababu nakuwa na uchungu wa life na mabadiliko ya watu kaka... makondo najua tutatafutana nikupe issue moja ya kufanya kule kwetu, niko na mipango ya kutosha kuwabadilisha watu.
hii sio ya kisiasa ila ya kiharakati tu.
 
Arafat,

I'm wondering kama unaweza kutoa hoja au kukosoa bila kuita hoja ya mwenzako ya kitoto au ushabiki wa kipuuzi.Mtoa mada kajaribu kutoa hoja with clear a heart kama kuna mapungufu ambayo hayana kero kwa wasomaji/msomaji kwanini utumie maneno yenye kero?Kumbuka kila mmoja anawajibika kuifanya JF kuwa chombo huru cha habari,Great thinkers platform and interesting Forum

Ben try to understand him thats how was brought up, yaani alikuwa akiambiwa wewe mtoto mpuuzi sana, mjinga, huna akili hujui, usemalo etc hakupewa nafasi ya ku exercise talents na weakness zake na kukubaliwa jinsi alivyo; hiyo sasa ime mu affect mpaka anashindwa kujielewa kuwa ana inferiority complex kwa kila mtu ambaye haendani na akili yake inavyotaka kutafsiri mambo. Na labda uki trace record yake atakuwa mtu ambaye anatafuta justification kila mara ya kila anachokifanya ili awe aploud kuwa kafanya vizuri tofauti na ilivyokuwa wakati wa makuzi yake...

Ni jambo jema sana kuepuka haya kwa watoto wetu maana tunawajengea kutokujiamini na pia wanakuwa very rigid katika ku accept wenzao wenye talent tofauti na wao so badala ya kufanya kwa team ku compliment each other wanaishia ku compete siyo kwa excelence into areas of their talents bali ku justify ubora wao zaidi ya wengine. Every human being is wonderfuly and fearfuly created hakuna hata mmoja ni useless na wala hakuna yeyote aliye copy ya mwingine kama ilivyo finger prints kwaajili hii tunakuwa more stable katika maisha kwani tuko diversed. Diversity inasaidia matatizo yetu yote yapate suluhisho through association thats why we are social beings!
 
Wewe naye umejuaje moyoni mwa mwenzio
mkuu unapenda sana kiswa--kinge matokeo yake lugha gongana

Arafat,

I'm wondering kama unaweza kutoa hoja au kukosoa bila kuita hoja ya mwenzako ya kitoto au ushabiki wa kipuuzi.Mtoa mada kajaribu kutoa hoja with clear a heart kama kuna mapungufu ambayo hayana kero kwa wasomaji/msomaji kwanini utumie maneno yenye kero?Kumbuka kila mmoja anawajibika kuifanya JF kuwa chombo huru cha habari,Great thinkers platform and interesting Forum
 
Bwana Ben >>>Ningekujibu lakini kwasababu una kupiga kampeni naishia kukushau kuwa angalia kampeni zisikuponze katika comments zako juu ya hoja za watu, maana ikiwa unachangia hoja kwa mtazamo wa kampeni hakika utajikuta Ubongo wako unakosa akili yake, utabaki kufikiri kuwa kila mtu humu JF yupo kwa manufaa ya kisiasa peke yake, kuna watu wana-maslahi yaliyozidi upeo wako huo wa vyama vya siasa.

Soma tena hizo comments zangu katika hoja Na.5 juu ujue umejikwaa wapi! Nashukuru sana Kijana.

Arafat grow up please si lazima ujikuze hivyo kuwa una maslahi zaidi ya siasa yapi hayo chini ya jua yenye manufaa zaidi ya siasa ambayo ndiyo utaratibu wa kila siku wa mwanadamu? I dont want to belittle you but I feel responsible to tell you how you want to elevete yourself into ranks which you would have waited others to do for you! Just be yourself and everything else will be at its place for heshima na utajiri hutoka kwa Mungu mwenye kuumba vyote vionekanavyo navisivyooneka. Aise ukiona Mike Tyson anamtishia ngumi mtoto ujue kabisa kukichwa kuna matatizo na pengine amesha paralyse ila ili aonekane bado wamo ndiyo hivyo kuanza kupimana nguvu na watoto wadogo lol!
 
Bunge la nchi ya Kilimanjaro ama la Tanzania? Hapa napata kizunguzungu, bunge letu lina wabunge wachache wa upinzani. Wengi ni chama tawala, hivyo CDM msiote ndoto za alinacha, muanzishe mikakati madhubuti badala ya maandamano endelevu.
wakati wengine tunafikiria kwa kutumia ubongo wengine hufikiria kwa kutumia kalio .....uliza ni wabunge wangapi wa ccm wa kuchaguliwa waioridhishwa na m.kwere...
 
Ni muda mrefu sasa sijamsikia Bw. Tambwe Hiza akitema porojo zake mbele ya waandishi wa habari, kama ilivyozoeleka hapo awali. Je, inawezekana nae alikuwa gamba kama mjomba yake Makamba? Isije ikawa mkuu wa kitengo cha taarabu na porojo Bw. Nape Nnauye amebadili uongozi ndani ya kitengo.
 
Karudia kazi yake ya ukishoka pale Tanesco,mbeleko yake pale magamba mzee wa kinundu ilishakatika. Kutesa kwa zamu, sasa ni zamu ya mtoto wa mama Nepi na timu yake.
 
tambwe ni gamba kama alivyo nape soon watakuja kumbaini maana anafanya siasa zilezile ila watakuja kujua kama ni gamba baada ya uchaguzi wa 2015 baada ya kushindwa vibaya, maana hata tambwe na makamba walielezwa kuwa siasa zao ni za kitoto lakini hawakusikia hadi walipopigwa mweleka katika uchaguzi, sasa nape anaenda kuhitimisha kazi waliyoianzisha akina makamba nayo ni kuiua ccm kabisa, maana tunapiga kelele kuwaambia kuwa nape hana jipya hawaamini,eti anasema chadema ni mafisadi wanakwepa kodi, eti slaa ni fisadi sababu analipwa milioni 7, hapo ndo anadhani wananchi watasahau kuhusu EPA,kagoda, meremeta, tangold, rada, ndege ya raisi, richmond, dowans, mikataba mibovu ya madini, ujenzi wa chini ya kiwango wa miradi mikubwa ya barabara, kupanda ghafla kwa gharama za maisha kinyume na walivyoahidi wakati wa kampeni, kuuzwa nyumba za serikali, mkapa kuanzisha kampuni akiwa ikulu na kujiuzia mgodi wa kiwira (hata kama keshautema), kikwete kuwapigia debe watuhumiwa wa ufisadi ktk uchaguzi(yaani wakati watanzania wanamachungu nao yeye anaona ni wasafi), wawekezaji kuwanyanyasa watanzania kwa msaada wa serikali (kutiririsha maji ya sumu kutoka mgodi wa north mara hadi mtoni, wazalendo kufukuzwa na kuchomewa nyuma loliondo, juzi wazalendo kuuwawa eti wamevamia mgodi), uuzwaji wa bei ya kutupa ya mashirika yetu muhimu na kufa kama TRC na ATC, n.k. NAPE badala ya kutafutia ufumbuzi kero hizi zinazowasibu watanzania, yeye anaendeleza kiduku cha makamba na tambwe kweli sikio la kufa (ccm) kamwe haliwezi kusikia dawa, atapata majibu ya taarabu zake 2015, Mungu ibariki Africa,Mungu ibariki Tanzania
 
attachment.php

Z

W
asira, Werema na Wilson kwa nini nyie ndio mko msitari wa mbele kuutetea utawala huu wa kifisadi ? Watu wa Mara wanajulikana kwa msimamo, sasa nyie tuwaeleweje ? Mnawaaibisha watu wa Mara !
 
Attachments

  • were.jpg
    were.jpg
    24.3 KB · Views: 93
Njaa matumbo yao yametoboka hawashibi, Wasira ndio kinyaa kabisa kaiba gari la serikali hivi majuzi alipewa la kwanza akalikataa lakini hakulirudisha hivi kwa nini wana habari hawaifanyiii kazi? tunafahamu story hii ipo hapa kwetu habari corporation Bashe kaikalia hebu mwanahalisi na Mwananchi ibebeni haraka huyu bwana people power imfukuze kazi maana bosi wake hana ubavu
 
Akiwa katika ziara yake ya kichama na 'kujitambulisha' kwa wana-CCM wa Mkoa wa Mara,Katibu Mkuu wa CCM,Wilson Mkama ameahidi kuwafukuza wafanyabiashara wote walio ndani ya chama hicho.Kwa jinsi CCM ilivyojaa wafanyabiashara kila kona,wachambuzi wa mambo wanasema kuwa Mkama amepanga kutimua wanachama wote wa CCM.Mfa maji......................

Si aanzie kwake na jk au hawa sio wafanyabiashara ya kuuza assets zetu? ccm kweli ni mtaji wa Gadaffi.
 
attachment.php

Z

W
asira, Werema na Wilson kwa nini nyie ndio mko msitari wa mbele kuutetea utawala huu wa kifisadi ? Watu wa Mara wanajulikana kwa msimamo, sasa nyie tuwaeleweje ? Mnawaaibisha watu wa Mara !

Man ukiwaangalia usoni tu unajua ni waoongo na wezi. How can we have people look like this while others can't even get one meal for a day?

mkapa1.jpg

Kuna tofauti hapa?

street%20children.jpg
 
Mukama, wasukuma washabadilika, ccm haina chao kanda ya ziwa, labda kwa wajita!
 
attachment.php

Z

W
asira, Werema na Wilson kwa nini nyie ndio mko msitari wa mbele kuutetea utawala huu wa kifisadi ? Watu wa Mara wanajulikana kwa msimamo, sasa nyie tuwaeleweje ? Mnawaaibisha watu wa Mara !

Ndio maana wako CCM, naomba uwaelewe hivyo.
 
Ben try to understand him thats how was brought up, yaani alikuwa akiambiwa wewe mtoto mpuuzi sana, mjinga, huna akili hujui, usemalo etc hakupewa nafasi ya ku exercise talents na weakness zake na kukubaliwa jinsi alivyo; hiyo sasa ime mu affect mpaka anashindwa kujielewa kuwa ana inferiority complex kwa kila mtu ambaye haendani na akili yake inavyotaka kutafsiri mambo. Na labda uki trace record yake atakuwa mtu ambaye anatafuta justification kila mara ya kila anachokifanya ili awe aploud kuwa kafanya vizuri tofauti na ilivyokuwa wakati wa makuzi yake...

Ni jambo jema sana kuepuka haya kwa watoto wetu maana tunawajengea kutokujiamini na pia wanakuwa very rigid katika ku accept wenzao wenye talent tofauti na wao so badala ya kufanya kwa team ku compliment each other wanaishia ku compete siyo kwa excelence into areas of their talents bali ku justify ubora wao zaidi ya wengine. Every human being is wonderfuly and fearfuly created hakuna hata mmoja ni useless na wala hakuna yeyote aliye copy ya mwingine kama ilivyo finger prints kwaajili hii tunakuwa more stable katika maisha kwani tuko diversed. Diversity inasaidia matatizo yetu yote yapate suluhisho through association thats why we are social beings!

Moment nonsense can sense sometimes!
 
Arafat grow up please si lazima ujikuze hivyo kuwa una maslahi zaidi ya siasa yapi hayo chini ya jua yenye manufaa zaidi ya siasa ambayo ndiyo utaratibu wa kila siku wa mwanadamu? I dont want to belittle you but I feel responsible to tell you how you want to elevete yourself into ranks which you would have waited others to do for you! Just be yourself and everything else will be at its place for heshima na utajiri hutoka kwa Mungu mwenye kuumba vyote vionekanavyo navisivyooneka. Aise ukiona Mike Tyson anamtishia ngumi mtoto ujue kabisa kukichwa kuna matatizo na pengine amesha paralyse ila ili aonekane bado wamo ndiyo hivyo kuanza kupimana nguvu na watoto wadogo lol!

Nadhani hilo jibu la huyo Bwana Ben linafaa sana kujibu hata hii hoja yako, na ndio maana limekuingia Barabara! hivyo hamna haja ya kutoa jibu lingine tena! labda kama una Swali lingine.

Ila ujue kuwa unaumwa ugonjwa hatari sana wewe, jaribu kuwaona wataalam wa magonjwa ya akili haraka sana unahitaji ushauri nasaha, dalili za awali za watu waliochanganyikiwa ni pamoja na mtu ambaye akiulizwa kitu/kosa lake au akishindwa hoja anaanza kulia na kutoa machozi au hata kumlilia Mungu kama unavyofanya wewe, wataalam wanaita hiyo ni kinga ya mtu mnyonge katika hoja au akili zake, Jaribu kuwai katika kliniki ya Ubongo na magonjwa ya akili. Jua kuwa Mungu ameumba watu wake kwa vipaji tofauti tofauti na hilo haliepukiki.
 
Back
Top Bottom