Ziara ya KM wa CCM W. Mukama Kanda ya Ziwa: Matukio na Yatokanayo

Bwana moderator hujaitendea haki hii post, haiwezekani habari nyeti kama hii unaitupia kwenye post nyingine, unawanyima watu uhuru!!!!!!! tafadhali naomba irudi kama poat inayojitegemea

Mkuu waandikie PM! Wakati mwingine huwa nashindwa pia kuelewa weredi wa hawa jamaa! Habari yako haina mahusiano ya hapa walipounganisha!
 
Ndugu wanajamii,

Katibu mkuu wa ccm Wilson Mukama, amefika wilayani serengeti leo tarehe 16-05-2011, kufanya mkutano wa chama chake kwa ajili ya kujitambulisha, kama katibu mkuu mpya baada ya ccm kujivua Gamba.

Mukama kabla ya kufika wilayani hapo, aliwatuma wajumbe maalum kufanya utafiti, ili wagundue ni eneo gani la serengeti lisiloipenda ccm,
Wajumbe hao, walifikia eneo la Issenye, kata inayoongozwa na ccm kwa sasa, baada ya kumg'oa ndugu Chabanga aliyeiongoza kata hiyo akiwa diwani kwa tkt Nccr kwa kipindi cha 2005-2010,
wajumbe hao, walifanya kikao eneo la kijiji cha Issenye centre, wakiwa na mwenyeji wao Mossi Nyarobi ambaye ni diwani wa kata hiyo ya issenye.
Diwani Mossi aliwaeleza wajumbe wa mukama kuwa, sehemu zote za serengeti ccm inapendwa sana, ila kuna eneo moja tu ambalo ccm haina nguvu sana, akataja eneo hilo kuwa ni Mugumu mjini, na akatoa sababu ya ccm kuchukiwana wakazi wa eneo hilo kuwa ni ukabila na kuwa eneo hilo liko mjini.
Akafafanua ukabila huo, na kusema kuwa eneo hilo linakaliwa na wakurya wengi ukilinganisha na makabila mengine, na alipoulizwa kwa nini wakurya hawaipendi ccm, alitoa jibu rahisi sana na lisilo na utafiti wala ukweli,
alisema kuwa, wakurya wanaubaguzi sana, kwani mbunge aliyepo hivi sasa sio mkurya na ni wa kabila la Wangoreme, hivyo hawawezi kumuunga mkono,
Na alipoulizwa ni kabila gani kubwa serengeti, alijibu kuwa ni wakurya ambao hawampendi Dr Kebwe ( ccm), na alipoulizwa wakurya ni asilimia ngapi ya wakazi wa serengeti, alijibu eti ni 50%kitu kisicho kweli,
walipomuuliza, ni kwa vipi alishinda ubunge kwa kura za watu wasiompenda ikiwa wagombea ubunge walikuwa wa vyama viwili tu,tena wa chadema alikuwa mkurya, Mossi alijibu kuwa ni juhudi binafsi, (hapa nitahitaji ufafanuzi wake juu ya juhudi binafsi anazozisema, je wizi/uchakachuaji au ni migambo/mabomu tuliyopigwa siku ya kuhesabu kura?)
Hata hivyo, wilaya ya serengeti imegawanyika katika kanda tatu tu,
1. Kanda ya Ikoma, yenye makabila ya Waissenye, waikoma, Wanatta, wasukuma na wazanaki=30%
2. Kanda ya kuryani, hii ina makabila ya wakurya na vikabila vidogo kwa kuwa iko mjini=40%
3. Kanda ya Ngoreme=30%
Sasa hapa utagundua diwani mosi alivyodanganya kuwa wakurya ni 50%, hata hivyo hasemi ni asilimia ngapi ya kura ambazo ccm ilipata huko kuryani na kata ngapi zilishinda za cdm huko anakodai ccm haipendwi,
Kutokana na uongo huo uliopatikana kwa utafiti hewa, Mukama aliagiza vikao vya wazee wa kimila vifanyike katika kanda hizi mbili ( ikoma na ngoreme), ili wajenge chuki kwa wakurya kwa lengo la kuwateka wanakanda hizi mbili,eti ili wasiwe na uhusiano wakuambukizana hii tabia ya kuichukia ccm!
Hivi mukama anajua kuwa upinzani ulianzia kanda ya ngoreme na issenye!!!?au hajui ccm ina madiwani wengi kuliko eneo lingine analodai ccm inatengwa kikabila?wanatoka ngoreme?pia hajauliza wamwambie mimi ninaeogopwa na DC wa serengeti natokea kanda ya ikoma, kule wasikotaka kusikia wala kuona bendera ya ccm na nimewapika wakaiva?!!!!!!
kazi hiyo ya majungu ya wajumbe wa mukama, ilifanyika kwa kata kadhaa na ilifanikiwa kwa vikao kukaa, na sasa tukaanza kumwona kebwe aliyekuwa haonekani mitaani tangu awe mbunge, sasa akaonekana hadharani na kufanya matembezi ya wazi kwa kile alichosema ni kuwatembelea wapiga kura wake,kumbe uwezo huo aliupata baada ya maazimio ya mukama kukamilika,
Baada ya kumaliza ziara yake huko kibara bunda, Mukama jana ilitangazwa kuwa atakuwa na mkutano hapa serengeti tarehe 16-05-2011.
Juzi usiku walionekana wapambe wa ccm wakitafuta kadi za cdm kwa hali na mali,
Pia juzi mchana, wananchi wengi wageni, walionekena ofsi za chadema za wilaya, wakiomba kuijunga na chadema, ila kwa umakini wa kiongozi husika, aliamua kuwadadisi na akagundua kuwa walikuwa ni mabosheni ya ccm,hata hivyo alishindwa kuwanyima kadi, na nilimshauri awakariri hata wawili watatu, ili siku ya leo awatambue kama watahusika na urejeshaji kadi huo feki.
Yaani, Mukama anaingia eneo lenye ulinzi wa Simba Dume, bila kujua anafuatwa kwa kila nyao anayoivuka!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kila mwezi nina utaratibu wa kutoa vipeperushi vinavyotoa elimu ya uelewa kwa wakazi wa serengeti na kukemea mambo uonevu na wizi unaofanywa na viongozi husika,kiasi kwamba sasa wananchi wa serengeti wananiita DC kivuli, pia nimeweka ulinzi wa kutosha kila kona na kila nyanja ya serengeti,ili niweze kupata kila kichoendelea humo nyumabni kwetu, hivyo kipeperushi hicho kinachoitwa WASHA TAA MCHANA, kinawaumiza sana wezi na maharamia wa rasilimali za wilaya yetu.
Hata hivyo mtoa habari wangu anaendelea kufutilia kwa karibu kila tukio na atafanikiwa kujua hao wapambe wamepewa tarashishi gani, ili siku nikiingi na mkutano wangu kule, niwafunue wote.
Kwa hiyo jiandaeni kupata habari za wanachama hewa wa chadema serengeti kuhamia ccm.

Security is a seed for free freedom- Grayson Nyakarungu.
 
16.Mohammed Dewji “Mo” (Mohammed Enterprises Tanzanian Limited (METL).
17.Sumaye (huyu ana hisa nyingi Scandnavia Bus na Exim Bank)
18. Dr.Hamis Kigwangalla (MSK Solutions Ltd)
19.Dr. Mwakyembe (Mzee wa umeme wa kutumia upepo)

20. N. Karamagi (TICS)
21. C. Gachuma (Coca Mza)
 
ndugu wanajamii,

katibu mkuu wa ccm wilson mukama, amefika wilayani serengeti leo tarehe 16-05-2011, kufanya mkutano wa chama chake kwa ajili ya kujitambulisha, kama katibu mkuu mpya baada ya ccm kujivua gamba.

mukama kabla ya kufika wilayani hapo, aliwatuma wajumbe maalum kufanya utafiti, ili wagundue ni eneo gani la serengeti lisiloipenda ccm,
wajumbe hao, walifikia eneo la issenye, kata inayoongozwa na ccm kwa sasa, baada ya kumg'oa ndugu chabanga aliyeiongoza kata hiyo akiwa diwani kwa tkt nccr kwa kipindi cha 2005-2010,
wajumbe hao, walifanya kikao eneo la kijiji cha issenye centre, wakiwa na mwenyeji wao mossi nyarobi ambaye ni diwani wa kata hiyo ya issenye.
diwani mossi aliwaeleza wajumbe wa mukama kuwa, sehemu zote za serengeti ccm inapendwa sana, ila kuna eneo moja tu ambalo ccm haina nguvu sana, akataja eneo hilo kuwa ni mugumu mjini, na akatoa sababu ya ccm kuchukiwana wakazi wa eneo hilo kuwa ni ukabila na kuwa eneo hilo liko mjini.
akafafanua ukabila huo, na kusema kuwa eneo hilo linakaliwa na wakurya wengi ukilinganisha na makabila mengine, na alipoulizwa kwa nini wakurya hawaipendi ccm, alitoa jibu rahisi sana na lisilo na utafiti wala ukweli,
alisema kuwa, wakurya wanaubaguzi sana, kwani mbunge aliyepo hivi sasa sio mkurya na ni wa kabila la wangoreme, hivyo hawawezi kumuunga mkono,
na alipoulizwa ni kabila gani kubwa serengeti, alijibu kuwa ni wakurya ambao hawampendi dr kebwe ( ccm), na alipoulizwa wakurya ni asilimia ngapi ya wakazi wa serengeti, alijibu eti ni 50%kitu kisicho kweli,
walipomuuliza, ni kwa vipi alishinda ubunge kwa kura za watu wasiompenda ikiwa wagombea ubunge walikuwa wa vyama viwili tu,tena wa chadema alikuwa mkurya, mossi alijibu kuwa ni juhudi binafsi, (hapa nitahitaji ufafanuzi wake juu ya juhudi binafsi anazozisema, je wizi/uchakachuaji au ni migambo/mabomu tuliyopigwa siku ya kuhesabu kura?)
hata hivyo, wilaya ya serengeti imegawanyika katika kanda tatu tu,
1. Kanda ya ikoma, yenye makabila ya waissenye, waikoma, wanatta, wasukuma na wazanaki=30%
2. Kanda ya kuryani, hii ina makabila ya wakurya na vikabila vidogo kwa kuwa iko mjini=40%
3. Kanda ya ngoreme=30%
sasa hapa utagundua diwani mosi alivyodanganya kuwa wakurya ni 50%, hata hivyo hasemi ni asilimia ngapi ya kura ambazo ccm ilipata huko kuryani na kata ngapi zilishinda za cdm huko anakodai ccm haipendwi,
kutokana na uongo huo uliopatikana kwa utafiti hewa, mukama aliagiza vikao vya wazee wa kimila vifanyike katika kanda hizi mbili ( ikoma na ngoreme), ili wajenge chuki kwa wakurya kwa lengo la kuwateka wanakanda hizi mbili,eti ili wasiwe na uhusiano wakuambukizana hii tabia ya kuichukia ccm!
hivi mukama anajua kuwa upinzani ulianzia kanda ya ngoreme na issenye!!!?au hajui ccm ina madiwani wengi kuliko eneo lingine analodai ccm inatengwa kikabila?wanatoka ngoreme?pia hajauliza wamwambie mimi ninaeogopwa na dc wa serengeti natokea kanda ya ikoma, kule wasikotaka kusikia wala kuona bendera ya ccm na nimewapika wakaiva?!!!!!!
kazi hiyo ya majungu ya wajumbe wa mukama, ilifanyika kwa kata kadhaa na ilifanikiwa kwa vikao kukaa, na sasa tukaanza kumwona kebwe aliyekuwa haonekani mitaani tangu awe mbunge, sasa akaonekana hadharani na kufanya matembezi ya wazi kwa kile alichosema ni kuwatembelea wapiga kura wake,kumbe uwezo huo aliupata baada ya maazimio ya mukama kukamilika,
baada ya kumaliza ziara yake huko kibara bunda, mukama jana ilitangazwa kuwa atakuwa na mkutano hapa serengeti tarehe 16-05-2011.
juzi usiku walionekana wapambe wa ccm wakitafuta kadi za cdm kwa hali na mali,
pia juzi mchana, wananchi wengi wageni, walionekena ofsi za chadema za wilaya, wakiomba kuijunga na chadema, ila kwa umakini wa kiongozi husika, aliamua kuwadadisi na akagundua kuwa walikuwa ni mabosheni ya ccm,hata hivyo alishindwa kuwanyima kadi, na nilimshauri awakariri hata wawili watatu, ili siku ya leo awatambue kama watahusika na urejeshaji kadi huo feki.
yaani, mukama anaingia eneo lenye ulinzi wa simba dume, bila kujua anafuatwa kwa kila nyao anayoivuka!!!!!!!!!!!!!!!!!
kila mwezi nina utaratibu wa kutoa vipeperushi vinavyotoa elimu ya uelewa kwa wakazi wa serengeti na kukemea mambo uonevu na wizi unaofanywa na viongozi husika,kiasi kwamba sasa wananchi wa serengeti wananiita dc kivuli, pia nimeweka ulinzi wa kutosha kila kona na kila nyanja ya serengeti,ili niweze kupata kila kichoendelea humo nyumabni kwetu, hivyo kipeperushi hicho kinachoitwa washa taa mchana, kinawaumiza sana wezi na maharamia wa rasilimali za wilaya yetu.
hata hivyo mtoa habari wangu anaendelea kufutilia kwa karibu kila tukio na atafanikiwa kujua hao wapambe wamepewa tarashishi gani, ili siku nikiingi na mkutano wangu kule, niwafunue wote.
kwa hiyo jiandaeni kupata habari za wanachama hewa wa chadema serengeti kuhamia ccm.

security is a seed for free freedom- grayson nyakarungu.

kaka god, hawa na magamba yao hawafiki popote ndugu yangu, tunawafahamu trik zao, hadanganywi mtu tena kk
 
Mukama siasa anaijua au yeye ni mjanja wa kubuni watu kujivua magamba ? Ngojea utasikia moto karibuni na yeye atakuwa hana majibu
 
Mkuu!
Mchango wako katika wilaya ni mtaji wa ukombozi wa kweli kutoka kwenye Magamba ya Chama cha Mafisadi
 
Ndugu wanajamii,

[...] alipoulizwa wakurya ni asilimia ngapi ya wakazi wa serengeti, alijibu eti ni 50%kitu kisicho kweli,[...] Hata hivyo[/COLOR], wilaya ya serengeti imegawanyika katika kanda tatu tu,[/SIZE][/FONT]
1. Kanda ya Ikoma, yenye makabila ya Waissenye, waikoma, Wanatta, wasukuma na wazanaki=30%
2. Kanda ya kuryani, hii ina makabila ya wakurya na vikabila vidogo kwa kuwa iko mjini=40%
3. Kanda ya Ngoreme=30%
Sasa hapa utagundua diwani mosi alivyodanganya kuwa wakurya ni 50%, hata hivyo hasemi ni asilimia ngapi ya kura ambazo ccm ilipata huko kuryani [...] Kwa hiyo jiandaeni kupata habari za wanachama hewa wa chadema serengeti kuhamia ccm.

Bwana Nyakarungu kila nikisoma hii habari yako naona kama maudhui makuu ni mawili tu! yaani: -
  1. Kutoa taarifa Kuwa Mkama yupo Wilayani serengeti lakini kama kawaida ya CCM kunausanii wa kujidanganya wenyewe kuwa kuna wana-CDM wanahama kwenda CCM angali ni mchezo wakuigiza! Sawa ni vyema tunashukuru ni kawaida ya CCM kujidanganya siku zote wao wenyewe bila kujua madhara ya kujidanganya. Ila nakushauri kama iwapo wewe ni mwanachama wa CDM fuatilieni muwe na uhakika kuwa hao wanajitokeza kurudi CCM siyo wanachama wa CDM na muende mbali zaidi mtwambie kadi wanazorudisha wanazitoa wapi kama wao siyo wanachama wa CDM?! Hii itakufanya nawewe husijidanganye mwanyewe kuwa hao sio CDM wakati ni CDM, nadhani uhakika zaidi uende hadi ndani ya idadi ya wanachama wenu nadhani mnawafamu ila muhimu ni kadi zinazorudishwa zinatoka wapi?
  2. Pili naona kama unatutaarifu aina ya makabila yaliopo ndani ya wilaya ya serengeti ingawa umesema katika kichwa cha habari kuwa Mkama kagawa watu kwamakabila lakini inaoneka umeshindwa kuthibitisha hilo ndani ya taarifa yako, sasa ebu tusaidie hizo takwimu za makabila kwa asilimia umezitoa wapi na hivyo tuziamizi zako wala si za Makama na watu wake? Kama Mkama angekuwepo naye ningemuuliza zake amezitoa wapi? Ila hakuna shaka nianze na wewe kujaribu (kuhakiki) uhalali wa hizo za kwako!Nilazima uelewe kuwa ni ubishi wa kitoto kama si wa kipuuzi iwapo hata hizo zako hazina chanzo si tu chakuaminika bali pia cha kukubalika kama watoa takwimu halali. Pia ebu elezea mbona katika list yako ya mabila ya Wilaya serengeti hakuna kabila wajaluo?
Nashukuru sana Bwana nyakarungu.
 
Habari za sasa nilizozipata kutoka kwa katibu wangu wa wilaya ya serengeti ( Bwana Ngereza) ni kwamba, ni mtu mmoja tu aliyerudisha kadi anayodai alipewa na chadema, hata hivyo kwa mujibu wa katibu huyo, mtu huyo hajulikani kwani hata jina alilotaja ni geni kabisa kwake.
Mukama pole sana, kwani umevamia kweli bila kujua serengeti imekula joto ya jiwe na imejifunza sasa.

CCM marehemu aliye ndani ya jeneza, katika hospital ya DDH serengeti, atazikwa 2015.
 
Arafat,

I'm wondering kama unaweza kutoa hoja au kukosoa bila kuita hoja ya mwenzako ya kitoto au ushabiki wa kipuuzi.Mtoa mada kajaribu kutoa hoja with clear a heart kama kuna mapungufu ambayo hayana kero kwa wasomaji/msomaji kwanini utumie maneno yenye kero?Kumbuka kila mmoja anawajibika kuifanya JF kuwa chombo huru cha habari,Great thinkers platform and interesting Forum
 
KAKA Araft,
mbona una hasir sana?, asante kwa maswali yako mazuri, na ushauri wako pia.
Takwimu zangu ni sahihi kwa mujibu wa daftari la kudumu la kupigia kura, ktk uchaguzi uliopita, mimi nilikuwa kampeni manajer wa mgombea ubunge cdm serengeti, hivyo tulikuwa tunafanya tathimini ya watu waliojiandikisha katka kata zote, hizo ziliniwezesha kujua katika kanda hizo zina % ngapi!
nadhani umeelewa eegh?
Asante kwa ushauri kuhusu kadi, yawezekana au isiwezekane, ila kwa wakazi wa serengeti ninaoishi nao, waliofiwa na ndugu zao/watoto wao/marafiki zao....kwa kile kinachoaimnika ni kuwalinda wanyamapori na kuwalindia mafisadi mali zao!! hakuna tukio la watu kuhama cdm kwenda ccm....na hii ndio sababu leo ni mtu mmoja tu amerudisha kadi ccm.
 
Mkuu Nyakaruungu,
Mtu yeyote anayejaribu or atakayejaribu kurudisha matatizo ya Ukabila Serengeti huyo anastahili kupigwa mawe na afe. Sisi wanaserengeti tunajua jinsi ambavyo matatizo ya ukabila katika eneo hili la Tanzania yametuletea maafa for decades! Nakumbuka miaka ya 80 watu wameuana mno na hata mauaji mabaya kabisa kutokea yale ya Ngoreme 1986 hatujayasahau. Ni kuhimu huyo Mkama afikishiwe salam kuwa wanaserengeti hatuwezi kumvumilia mtu yeyote anayetugawa kikabila.
Ni kweli kwamba hakuna mtu atapata Ubunge kwa kura za kabila moja lakini pia mimi binafsi naamini kuwa tunahitaji watu wanaconfront matatizo yetu ya kiuchumi na kijamii kama wanaserengeti na wala sio waIkoma kwa Wakurya au vinginevyo
 
KAKA ARAFT,
TAARIFA NINAZOTOA HAPA SIO ZA AKINA NAPE WALA AKINA MUKAMA (yaani za kudhania) KILA KATA NDANI YA WILAYA YANGU, AMBAYO NIMEBEBA MZIGO KWA AJILI YAKE, NINA WATU MAKINI WENYE UTASHI, NDANI NA NJE YA CCM, NDANI YA HALIMASHAULI, KILA IDARA, NAWATAJA BILA UOGA KWANI HAKUNA ANYEWEZA KUWATAMBUA NA KUWAFANYA CHOCHOTE,HAWA HUNIPATIA KILA TUKIO LISILO ZURI, HATA MKUU WA WILAYA HUNIPIGIA NA KUNIPA HABARI ZA JAMBO ZURI ANALOLIFANYA KILA IKITOKEA..JE UNAHISI NINI MPAKA HAPO...?
KAMA MUKAMA ATASEMA NADANGANYA, AJITOKEZE HADHARANI NA ANISHITAKI, ILI NITOE HATA KITABU WALICHOSAINI WAJUMBE WAKE HOTEL.
PIA KUHUSU UKABILA NADHANI HUKUSOMA VIZURI THEAD YOTE KAKA, RUDIA TENA.
 
Naam Makondo,
nakumbuka enzi hizo wazazi wetu na pinde na mikuki kwa ajili ya ukabila tu kaka, yaani hii ilikuwa hasara kwa wilya nzima, tena tutawaonya wazee wetu wanaokubali vikao vya aina hii, ikiwa wao walionja ile vita, ni aibu na laana sana.
 
KAKA Araft,
mbona una hasir sana?, asante kwa maswali yako mazuri, na ushauri wako pia.
Takwimu zangu ni sahihi kwa mujibu wa daftari la kudumu la kupigia kura, ktk uchaguzi uliopita, mimi nilikuwa kampeni manajer wa mgombea ubunge cdm serengeti, hivyo tulikuwa tunafanya tathimini ya watu waliojiandikisha katka kata zote, hizo ziliniwezesha kujua katika kanda hizo zina % ngapi!
nadhani umeelewa eegh?
Asante kwa ushauri kuhusu kadi, yawezekana au isiwezekane, ila kwa wakazi wa serengeti ninaoishi nao, waliofiwa na ndugu zao/watoto wao/marafiki zao....kwa kile kinachoaimnika ni kuwalinda wanyamapori na kuwalindia mafisadi mali zao!! hakuna tukio la watu kuhama cdm kwenda ccm....na hii ndio sababu leo ni mtu mmoja tu amerudisha kadi ccm.

Nyakarungu nashukuru umejaribu kunielewa napenda siku nyingine ukomae maana Mpambe wa Mbunge ukianza kutoa takwimu feki na huku ukizikataa za mwenzako kuwa ndio ni feki lazima ubishani uwe wa kitoto maana kila mtu ataendelea kudai zake ndio halali huku zote hazina uhalali wowote.

Kwa kukusadia Nyakarungu unaweza kutumia takwimu za NBS (National Bureau of Statistics) kupiga pini katika hoja zako husiwe unaokota takwimu mtaani. Sasa hujanijibu kuhusu kabila la Wajaluo katika Wilaya ya Serengeti.
 
Arafat,

I'm wondering kama unaweza kutoa hoja au kukosoa bila kuita hoja ya mwenzako ya kitoto au ushabiki wa kipuuzi.Mtoa mada kajaribu kutoa hoja with clear a heart kama kuna mapungufu ambayo hayana kero kwa wasomaji/msomaji kwanini utumie maneno yenye kero?Kumbuka kila mmoja anawajibika kuifanya JF kuwa chombo huru cha habari,Great thinkers platform and interesting Forum

Bwana Ben >>>Ningekujibu lakini kwasababu una kupiga kampeni naishia kukushau kuwa angalia kampeni zisikuponze katika comments zako juu ya hoja za watu, maana ikiwa unachangia hoja kwa mtazamo wa kampeni hakika utajikuta Ubongo wako unakosa akili yake, utabaki kufikiri kuwa kila mtu humu JF yupo kwa manufaa ya kisiasa peke yake, kuna watu wana-maslahi yaliyozidi upeo wako huo wa vyama vya siasa.

Soma tena hizo comments zangu katika hoja Na.68 juu ujue umejikwaa wapi! Nashukuru sana Kijana.
 
Naam Makondo,
nakumbuka enzi hizo wazazi wetu na pinde na mikuki kwa ajili ya ukabila tu kaka, yaani hii ilikuwa hasara kwa wilya nzima, tena tutawaonya wazee wetu wanaokubali vikao vya aina hii, ikiwa wao walionja ile vita, ni aibu na laana sana.
Mzee watu walikuwa wanagoma kufanya kazi Serengeti na wilaya ilizorota kabisa achilie mbali jinsi milio la risasi ilivyokuwa inatutoa baru madarasani mchana kweupe. Yaani mtu yeyote anayeleta tena haya mambo tutapambana naye hadharani mchana kweupe
 
Huyu mukama anaonyesha usanii hana lolote la maana kwa watz na chama chake cha wezi na mafisadi waliokubuhu kama kweli yu serious aanze na mwenyekiti wake kwani naye ni fisadi na mfanya biashara
 
Back
Top Bottom