mopaozi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 3,301
- 520
bora aje aone mitambo yao bwana ni wapi ulisikia mwenye mali hapiti kukagua mali zake karibu mama na pia usisahau kumuamuru JK abinafsishe shirika la tanesco ili nalo limilikiwe na watu wa marekani tupate maisha mazuri kama new york ambako umeme kukatika ni kama jua kuanguka vile,pia usisahau kumtembelea na mama yake ghailan yule mliyemfunga umpe pole ya kuondokewa na mwanaye kipenzi ambaye hadi leo anaaamini mmemsingizia yeye alikuwa tu mpishi wa osama na si vinginevyo kwenye kupika mabomu ya nai!!