Zero brain. Student wa siku hizi bana.

hamic mussa

JF-Expert Member
May 1, 2012
227
19
baada ya mtihani wa kiswahili kuisha.
Mercy:vp shosti mtihani wa leo umeuonaje?
Editha:mtihani ulikuwa mrahisi kasoro swali la 6 tu nd'o nililiona gumu
Mercy: mh! Hivi lilikua linaulizaje?
Editha: Eti uandike neno NINAWAZA katika wakati uliopita.
Mercy:Sasa we ulijibu nini?
Editha: yaani NILIWAZA,NILIWAZA hata jibu sikupata nikaacha hivyo hivyo bila kulijibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom