Elections 2010 Zenji Seif nyota njema

Wazanzibari anzeni kusherehekea ushindi wa M.Seif: M.Seif apata 50.06%
Dr.Shein:47.30
Asalamu alaykum haya ndio matokeo tulioyapata kutoka kwa tume ya uchaguzi:
JIMBO KUTOKA PEMBA
JIMBO LA OLE: CUF- 5775, CCM -893
JIMBO LA WETE: CUF-6317, CCM-1189
JIMBO LA GANDO: CUF-5239, CCM-884
JIMBO LA MTAMBWE: CUF 5415, CCM-307
JIMBO LA KOJANI: CUF-6262, CCM-562
MAJIMBO YA UNGUJA
JIMBO LA FUONI: CCM-6351, CUF-2797
JIMBO LA MTONI: CCM-3746,CUF-4852
JIMBO LA DIMANI:CCM 6225,CUF-4898
JIMBO LA KIEMBE SAMAKI:CCM2794,CUF-1141
JIMBO LA KWEREKWE: CCM-4338,CUF-2812
JIMBO LA BUBUBU: CCM-4458,CUF-4119
JIMBO LA MFENESINI: CCM-3755,CUF-2246

Kwa HESABU rahisi ni hivi....

Kura zote mpaka sasa ni: 87,375

CCM wamepata kura: 35,502, sawa na 40.6%

CUF wamepata kura: 51,873 sawa na 59.3% ya KURA ZOTE!

JIMBO LA BUBUBU: CCM-4458,CUF-4119..........JIMBO LA MFENESINI: CCM-3755,CUF-2246

Hapo ni UNGUJA. Unaweza kuona vividly CCM kakabwa koo vile vile na huko.

So, if the above is TRUE, CUF wapo wanamatch towards IKULU!

Finaaaaaaaaaaaaaaaaally wanachukua what they deserved since 1995!
 
Bado tunaendelea kusubili mkuu lakini Seif anang'aa Pemba kuliko Unguja

hilo ndo tatizo la Zenji....sasa matokeo ya Unguja yakishaanza kuja utaona Shein anaanza kumkaribia au hata kumpita Maalim....mwisho wa siku, kama hakutakuwa na uchakachuaji, basi itategemea nani alikuwa na turnout kubwa zaidi
 
Haya matokeo Mkapa yamemfikia? Maana kwa kujiamini sana alisema anaunga mkono serikali ya umoja wa kitaifa kule Zanzibar LAKINI inayoongozwa na CCM
 
sioni cha ajabu na matokeo ya maalim seif kuwa presida wa zenj maana tangu mwaka 1995 anashinda halafu thithiem wanachakachua. Kwa nilivyokuwa nafuatilia kampeni shein hakuwa na mvuto kabisa, kushindwa yawezekana. Si wameshakubali serikali ya umoja, akubali matokeo atakuwa makamu, pengine ndicho cheo chake cha kustaafia mungu amemtunuku!!! Ha ha ha siasa bwana.

kazi kwelikweli, napenda mabadilko. Political system ya tz ibadilke kabisa thats what i want
 
Kwenye siasa hawaoneani huruma, hata akishinda maalim, Bahati mbaya ataketangazwa ni Shein. Walioko huko (mmoja wa wawakilishi mteule aliyetangazwa) amesema Shein atashinda ila kwa margin ndogo sana !
 
Muda sio mrefu kutoka sasa ZEC watatupa matoke.... hayo yaliyotangua SIO RASMI

ndio,,,SIO RASMI
 
sioni cha ajabu na matokeo ya maalim seif kuwa presida wa zenj maana tangu mwaka 1995 anashinda halafu thithiem wanachakachua. Kwa nilivyokuwa nafuatilia kampeni shein hakuwa na mvuto kabisa, kushindwa yawezekana. Si wameshakubali serikali ya umoja, akubali matokeo atakuwa makamu, pengine ndicho cheo chake cha kustaafia mungu amemtunuku!!! Ha ha ha siasa bwana.

kazi kwelikweli, napenda mabadilko. Political system ya tz ibadilke kabisa thats what i want
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom