Zembwela na Mpoki, nani unamkubali?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Mpoki ana misemo yake kama ''umeshindwa kurusha vocha utaweza kurusha ndege""
Zembwela ana misemo yake kama "Mapatano ufukweni baharini uvuvi tu''

Kila mtu ana swaga zake za kuongea ila nani unamkubali zaidi
 
Pengine hawa watu ni vigumu kuwalinganisha sana kwa kuwa naona hawana ufanania kwa sana!

Bila shaka kila mtu kabobea kwa upande wake
Mpoki amebobea kwenye vichekesho na ana uwezo wa hali ya juu! Lakini ukimleta upande mwingine hasa ukimwambie asichekeshe uwezi kumuona kama ni yeye!

Kwa upande wa Zembwela naye ni mchekeshaji lakini si kiwango cha mpoki ..uzuri wa Zembwela anaweza kuwa MC katika mazingira yote hata kama hakuhitajiki vichekesho!

Zembwela ni mmoja wa watangazaji ambao wamebarikiwa uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja na kuhoji mwanzo ..uwezo wake ni mzuri sana kuliko watu wengi tunao wajua wamesoma!

Kwao hiyo naweza sema Zembwela ana vipaji vingi sana na anajua jinsi ya kuvitumia!

Kiufupi Mpoki na Zembwela kila mtu anaweza sehemu aliyopo na ana itendea haki!
 
Niliangalia hii kilimanjaro music award mwaka huu,nikafananisha na mwaka ambao mpoki alikuwa kama MC,kuhusu mpoki kuhost watu walikereka kwamba kadhalilisha wengi...pia wengine walisifu sana mpoki ana misemo sana baada ya mwaka jana,sasa ukiangalia ya 2015 zembwela utamwona ni noma pia
 
Zembwela kiazi tu, hawezi kumfikia Mpoki miaka 800. kwanza hukutakiwa hata kuwalinganisha.
 
"ukiwa na degree usidharau kazi mana thermometer ina degree kibao ika inafanya kazi kwapani." by mpoki
 
"ukiwa na degree usidharau kazi mana thermometer ina degree kibao ila inafanya kazi kwapani." by mpoki
 
Back
Top Bottom