zembwela kwa mara ya kwanza anaongea jambo lamaana na kuacha kuongea"" ÜPUPUU""

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Kwa mara ya kwanza namsikia zembwela ameacha kuongea upupu na kuongea mambo ya maana
leo hii alikuwa anahhojiana na mtu mmoja kuhusu wakuu wa wilaya na mkoa ambao awafanyi kazi zao
na kuambiwa kuna wakuu wa mikoa wanahamishwa hata wilaya zao awajui ziko ngapi na awajahi kufika
yule jamaa akamwambia na hii imetokana na mh raisi kuchagua watu kwa fadhila na undugu ama kujuana

zembwela:
Unajua kijana hata huyo raisi anachaguliwa na Wananchi ifike muda rais ajue hii nchi n ya watanzania sio
ya kujuana ..akasema imefika wakti swala la sukari na vyakula vingine limeeingizwa kisiasa zaidi rais anauwezo
wa kuwaadabisha waliohusika lakini anakaakimya i dont why???????akamwammbia ifikw wakati hata hao \wakuu wa wilaya wajue huyo
raisi tusipomchagua atachaguliwa na wajomba zake??na je wangekuwa hapo walipo kama tusingemchagua
akashauri embu ninyi wakuu wapya wa mikoa acheni kujiwekezea mali ovyo ifikwe wakati sasa serikali pamoja na rais
aanze kuwafwatilia na kila asiefanya kazi yake amwadabishe live bila kuangalia ushemeji

aisee kwa mara yakwanza kama una mkeo mpwa wako huku amfikishie salamu nimeipenda akili yake
 
Ungejifunza kutumia 'comma' na nukta ungeteka wachangiaji wengi sana kwenye threads zako. Baada ya kusema hayo, naomba nisichangie chochote kwasababu sijaelewa chochote, labda hadi hapo utakapoamua kurekebisha makosa yako.
 
Too lte mwita!!hii ni kwa wanaoelewa tu wasiolewa wanapita
 
Back
Top Bottom