Zembwela amponda Sugu

Ni wakati anaielezea Antivirus mixtape. Amejiuliza inakuwaje mbunge anapata muda wa kutunga matusi kwa ajili ya kuwatukana watu. Je jimbo lake la Mbeya limekamilika kwa mahitaji yake hadi anapata muda wa ziada kama huo.

sidhani kama kuna haja ya kujiuliza kwa matusi kama ya Antivirus vol 1 &II Kwani mahatma gadh alikwisha sema "violence is the only weapons a weak person has in its mind"
 
Kweli tanzania kuna machizi wengi wote mnaomtetea sugu ni machizi na naexpect muwe mirembe, so hivi mmewezaje kutumia net. Am just 1_ years old n am better than you.
 
Ni wakati anaielezea Antivirus mixtape. Amejiuliza inakuwaje mbunge anapata muda wa kutunga matusi kwa ajili ya kuwatukana watu. Je jimbo lake la Mbeya limekamilika kwa mahitaji yake hadi anapata muda wa ziada kama huo.
..kwani zambwela ndo nani wajameni??? mbona mi simfahamu mwenzenu etii!!
 
Sugu kaeleza ukweli pia Sugu kaonyesha hasira yake kwa style yake.Aliowakashifu or Kuwatukana wao ndio wanaotakiwa kuhoji na kulalama kwani walistahili zaidi ya haya mnayoita Matusi kwenye Anti-virus
 
Kweli tanzania kuna machizi wengi wote mnaomtetea sugu ni machizi na naexpect muwe mirembe, so hivi mmewezaje kutumia net. Am just 1_ years old n am better than you.

inawezekana wewe sio binadamu bali ni robot au alliens
 
Kweli tanzania kuna machizi wengi wote mnaomtetea sugu ni machizi na naexpect muwe mirembe, so hivi mmewezaje kutumia net. Am just 1_ years old n am better than you.

wewe ndo chizi kwani ulikuwa hujajua siku zote kuwa weye ni chizi, au kwa weye ndo unatumia masaburi yako kupata akili.
 
hivi huoni aibu kubishana na mtoto mdogo,mtu mzima kama ww unatakiwa uwe unajenga taifa sa hivi.
 
Ni wakati anaielezea Antivirus mixtape. Amejiuliza inakuwaje mbunge anapata muda wa kutunga matusi kwa ajili ya kuwatukana watu. Je jimbo lake la Mbeya limekamilika kwa mahitaji yake hadi anapata muda wa ziada kama huo.
Sikiliza wimbo namba 19 kwenye hiyo albam ya antivirus vol2 utapata majibu.
 
ivi kawatukana akina wale MAWINGU eh?wale walimwandama sana, tena kama vipi apewe pongezi.MAWINGU radio Walimwandama mno Joseph,asingeshinda ubunge! Wangemkebehi for the rest his life.
 
Kwa uelewa wangu wa sanaa mbalimbali za Tz na ujasiliamali wa Tz,Zembwela hafai hata kushika tu ukanda wa kandambili za Sugu!
 
Back
Top Bottom