Zembwela amponda Sugu

Tuacheni kutetea upumbavu.......ivi nyie mnaakili sawa sawa kweli kusapoti ujinga anaouufanya sugu....mtu ameingia studio kurekodi albam ya matusi...hii inaonesha hana busara mbele ya jamii...ni muhuni...afu anajitokeza mtu anakemea nyie mnampinga...ebu kueni wakubwa bac
<br />
<br />
Umewatusi maelfu ya Wana-mbeya mjini wazee kwa vijana, wake kwa waume waliomchagua Sugu baada ya kuiona busara yake wewe uliyoshindwa kuiona na harakati zake zisizo na chembe ya woga..nadhani humfahamu sugu vizuri zaidi ya kumsikia tu.! Hongereni wana Mbeya kwa kuiona busara ya sugu na kumfanya awe mbunge wenu.
 
Kwa hiyo ni sahihi kwa Sugu kutukana, kwa kuwa mafisadi wanaiba? Na wewe unaingia kwenye hili giza?
<br />
<br />
Umeuliza kwa urefu wa uelewa wako.! Sina uhakika kama unaufahamu na mambo yenye kutatiza maslahi kitaifa ama antivirus mixtape au ufisadi wa ccm. Think tank pal.!
 
ushasema zembwela zuzu, lakani, even a mad ma can talk true things
 
Umenena kaka, zembwela anauzuri wake lakini mara nyingine anaonekana ana harufu ya magamaba ingawa haainish moja kwa moja,
Zembwela, najua uko eastafricaradio, una mchango mzuri kwa jamii ya kibongo, unapinga maovu mengi e.g. umeme, maji, ufisadi n.k. Sasa hapa unapoenda kwa sugu utapoteza umaarufu wako, sugu bado anakubalika ktk jamii ya kibongo.
 
Zembwela ni zuzu wa magamba,ambae anajifanya ana majibu ya kila swali.
Nilisha msikia akimwambia mtangazaji mwenzake ana mpango wa kuingia kwenye siasa
 
Hata yy sio msafi kihivyo ana kesi ya kubaka house girl wake,amalize kwanza yake ndio achokonoe wengine,yeye ana bolt anashangaa kibanzi kwenye jicho la mwenzie
 
Sugu demu wake shinyanga waridi wote wanavuta bangi unafikiri atamshauri nini zaidi ya upumbavu,I hate hiphop
 
yani we mwita hauna la maana la kuleta humu zaidi ya kumjadili zembwela?naanza kushuku uwezo wako wa kufikiria
 
Dah,sasa we Zembwela kupata hilo chaka EATV ndo umekuwa maarufu wa kuwagusa even the Great Musicians na Politician sespecially Mr.II?? U might be doing things blindly!
 
Dah,sasa we Zembwela kupata hilo chaka EATV ndo umekuwa maarufu wa kuwagusa even the Great Musicians na Politician sespecially Mr.II?? U might be doing things blindly!

Zembwela hayupo EATV ila yupo East Africa Radio.
 
Ni wakati anaielezea Antivirus mixtape. Amejiuliza inakuwaje mbunge anapata muda wa kutunga matusi kwa ajili ya kuwatukana watu. Je jimbo lake la Mbeya limekamilika kwa mahitaji yake hadi anapata muda wa ziada kama huo.
kwani matusi yote ambayo mtu anatukana lazima ayatunge? matusi si yapo tu, kwanini apoteze muda kwa kutunga wakati yapo matusi ready-made? ukitaka kuthibitisha tuombe mods waruhusu watu wakutukane uone kama hujaporomoshewa mvua ya matusi na mengine hujawahi kusikia lakini yapo toka zamani! wabunge wanapata nafasi mpaka ya 'kufanya matusi' na wake zao sembuse kutukana!? ina maana waache kujigjig kisa majimboni kwao kuna matatizo mengi!
 
Jikite kwenye mada husika pimbi wewe
 
Mi sisemi maana hata antivirus volume one siijui. Kwani we Zembwela ulipata wapi mda wa kuisikiliza Antivirus, inamana unamkubali sana SUGU.
Keep it up Sugu
 
zembwela ndo nani huyo wakuu?....

mkuu unafikiri hata wanakusikia hawa jamaa..hivi mapovu ya mdomo yanawatoka kwa ubishani..yaani JF siku hizi..aaaarrrrrgggggg

bahati mbaya hata hata mimi simfahamu..ningekujuza mkuu!!! he should be a blood useless anyway..so dont bother much mkuu!
 
Mi sisemi maana hata antivirus volume one siijui. Kwani we Zembwela ulipata wapi mda wa kuisikiliza Antivirus, inamana unamkubali sana SUGU.
Keep it up Sugu

Zembwela ni mtu wa Radio boya wewe. Sasa kila siku huwa anasikiliza nyimbo za watu
 
Back
Top Bottom