ZEC yakataa kupokea malalamiko ya CCM

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Tume ya Uchaguzi `Zenji` yakana kupokea mashtaka ya CCM.
Posted Wed, March,04 2009
Source Alasiri
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), imekanusha kupokea malalamiko kutoka chama cha Mapinduzi (CCM), juu ya ukiukwaji wa sheria za uandikishaji wa wapiga kura katika Jimbo la Magogoni.

__________________________

Ukizoea vya kunyonga vya kusinja huviwezi ,yaani mwaka ujao Sultani CCM ndio mwisho wake ,hapo ndio itakapopatikana raha ya kudili na mafisadi ,nasikia Anna Mkapa tumbo joto : D
 
Last edited by a moderator:
I m missing a point, ina maana kulkikuwa na malalamiko gani?

Yalikuwa yanamhusu nani?
Hiyo habari wameshaifuta ilikuwepo kwenye gazeti la alasiri ,Mawakala wa Sultani CCM ambao wapo kituoni wameona hakuna mwanachama mwenzao hata mmoja aliejitokeza kujiandikisha katika uchaguzi utakaofanyika mwezi wa Tano hapo Unguja katika jimbo la Magogoni na kudai kuwa sheria ni kali na wanachama wao wameshindwa kuzitimiza.
 
Duuhh, yaani habari ilikuwa kwenye gazeti la alasiri halafu tayari imeshafutwa?

Ina maana hata gazeti ulilokuwa nalo wewe limefutika?

Alasiri la lini hilo?

Hiii kweli kali yakhe? Ama ulipitiwa wakati waupata urojo?
 
Mchongoma uko wapi kuja kutoa ufafanuzi wa habari kufutika ikiwa gazetini?

Ama uliiandika ukaituma ,na bila kuwasiliana na mhariri ukaanza kutoa porojo hapa?
 
Yakhe...kuna pahala uliandika kuwa mtu katoa jicho kama mjusi alobanwa na mlango ...yamekukuta nini kwenye stori hii?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom