Zec tv

Mgjd

JF-Expert Member
Feb 19, 2012
531
95
Kwa sisi tusiyo na uwezo wa kununua LED TV's,JE KUNA Mtu anayefahamu UBORA WA ZEC TV? Hasa matoleo ya kisasa ambazo hazina tube kubwa nyuma. Kwa ambaye anafahamu uzuri na mapungufu yake tafadhali tujuzane.
 
ZEC huwa wana products zenye ubora sana, pia waweza jaribu Singsung wana led tv zaukweli pia.
 
Back
Top Bottom