'Ze Utamu' wa Uingereza anaswa na Polisi

Ikena

JF-Expert Member
Oct 24, 2007
553
393
Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 18 amedakwa na polisi wa Uingereza baada ya kuwapiga picha kisiri baadhi ya walimu wa kike na wanafunzi wa wasichana kwenye shule moja ya sekondari nchini humo na baadae kuziweka kwenye tovuti ya ngonoKijana mmoja mwenye umri wa miaka 18 amedakwa na polisi wa Uingereza baada ya kuwapiga picha kisiri baadhi ya walimu wa kike na wanafunzi wa wasichana kwenye shule moja ya sekondari nchini humo na baadae kuziweka kwenye tovuti ya ngono.

Kijana huyo mwanafunzi katika shule ya sekondari ya Cowes High School iliyopo kwenye kisiwa cha Isle of Wight ambacho ni sehemu ya Uingereza, aliwapiga picha kwa siri walimu wake wa kike na wanafunzi wasichana katika shule hiyo na kuzigeuza ziwe picha za ngono kabla ya kuzirusha kwenye tovuti ya picha za ngono.

Kijana huyo alichukua sura za walimu wake na wanafunzi hao katika picha alizowapiga kisiri na kuzibandika kwenye picha za wanawake wacheza video za ngono ili picha hizo zionekane kama ni picha za utupu za walimu na wanafunzi hao.

Picha hizo zilizua kasheshe kwenye shule hiyo baada ya walimu na wanafunzi kujikuta wameingizwa kwenye tovuti za ngono.

Shule hiyo iliomba msaada polisi kumtafuta mtu aliyepiga picha hizo na kuzirusha kwenye tovuti ya ngono.

Polisi walianza uchunguzi wao kwa kuitafuta kompyuta iliyotumika kuziweka picha hizo kwenye tovuti hiyo ya ngono.

Katika uchunguzi wao polisi waligundua kwamba picha hizo zilipigwa kwa kutumia simu ya kiganjani.

Katika uchunguzi wao mkubwa walioufanya polisi walifanikiwa kumnasa mwanafunzi mmoja wa kiume ambaye walimtuhumu kuwa ndiye aliyeziweka picha hizo kwenye tovuti hiyo.

Mwanafunzi huyo alikamatwa na kupelekwa kituo cha polisi na kuhojiwa na baadae kuachiwa kwa dhamana hadi tarehe 25 mwezi ujao.

Mwalimu mkuu wa shule hiyo David Snashall alisema kwamba shule yake inaendelea kushirikiana vyema na polisi katika kesi hiyo na inajaribu kutoa msaada kwa walioathirika na picha hizo.

Ili kufahamu sababu ya kijana huyo kufanya kitendo hicho wataalamu wa saikolojia walitumika kumhoji kijana huyo.Kijana huyo mwanafunzi katika shule ya sekondari ya Cowes High School iliyopo kwenye kisiwa cha Isle of Wight ambacho ni sehemu ya Uingereza, aliwapiga picha kwa siri walimu wake wa kike na wanafunzi wasichana katika shule hiyo na kuzigeuza ziwe picha za ngono kabla ya kuzirusha kwenye tovuti ya picha za ngono.

Kijana huyo alichukua sura za walimu wake na wanafunzi hao katika picha alizowapiga kisiri na kuzibandika kwenye picha za wanawake wacheza video za ngono ili picha hizo zionekane kama ni picha za utupu za walimu na wanafunzi hao.

Picha hizo zilizua kasheshe kwenye shule hiyo baada ya walimu na wanafunzi kujikuta wameingizwa kwenye tovuti za ngono.

Shule hiyo iliomba msaada polisi kumtafuta mtu aliyepiga picha hizo na kuzirusha kwenye tovuti ya ngono.

Polisi walianza uchunguzi wao kwa kuitafuta kompyuta iliyotumika kuziweka picha hizo kwenye tovuti hiyo ya ngono.

Katika uchunguzi wao polisi waligundua kwamba picha hizo zilipigwa kwa kutumia simu ya kiganjani.

Katika uchunguzi wao mkubwa walioufanya polisi walifanikiwa kumnasa mwanafunzi mmoja wa kiume ambaye walimtuhumu kuwa ndiye aliyeziweka picha hizo kwenye tovuti hiyo.

Mwanafunzi huyo alikamatwa na kupelekwa kituo cha polisi na kuhojiwa na baadae kuachiwa kwa dhamana hadi tarehe 25 mwezi ujao.

Mwalimu mkuu wa shule hiyo David Snashall alisema kwamba shule yake inaendelea kushirikiana vyema na polisi katika kesi hiyo na inajaribu kutoa msaada kwa walioathirika na picha hizo.

Ili kufahamu sababu ya kijana huyo kufanya kitendo hicho wataalamu wa saikolojia walitumika kumhoji kijana huyo.

,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Sijui kama huyu wa kwetu akikamatwa wataalamu wa saikolojia watatumika kumhoji.
 
Muanzishaji thread atakuwa mwandishi wa magazeti ya shigongo..(just kidding..:D )
 
Hii thread mbona inapotosha, nami nirifikiri Ze utamu kabambwa!! Ikena edit heading yako
 
Ze utamu anaswa na POLISI

Siku nyingine usikurupushe watu kwa style hii sio vizuri! :rolleyes::confused:
 
Nilipoona hii "Thread" nikaingia haraka nikijua yule Baradhuli (ama mabaradhuli) kakamatwa. Lakini nilipoanza soma nikakuta niliyoyafikiri siyo.
 
....,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Sijui kama huyu wa kwetu akikamatwa wataalamu wa saikolojia watatumika kumhoji.
saikolojisti wa bongo wanafanya kazi zao nyuma ya kaunta za polisi mkuu.
 
mkuu kaiandike upya hoja yako haina mtiririko mzuri

IKENA
Join Date: Wed Oct 2007
Posts: 78
Thanks: 17
Thanked 20 Times in 15 Posts
Rep Power: 22
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Credits: 179,055

What kind of quality do you expect?

DO NOT COPY IF YOU CAN'T PASTE .
 
IKENA
Join Date: Wed Oct 2007
Posts: 78
Thanks: 17
Thanked 20 Times in 15 Posts
Rep Power: 22
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Credits: 179,055

What kind of quality do you expect?

DO NOT COPY IF YOU CAN'T PASTE .

Duu!!! Japo na nanunua airtime kutumia kumputa, huoni kama nimejitahidi sana?
One step @ a time blaza,, hata tembo alianza kama sisimizi.
 
Back
Top Bottom