Naomba namba ya clouds, kupiga simu/msg au email kipindi cha leo tena niwaambie wawaonye.
Naomba namba ya clouds, kupiga simu/msg au email kipindi cha leo tena niwaambie wawaonye.
kweli cottoneyejoe, ni risk, kupublisize zaidi. Sijui tufanyeje, natamani ifutike leo sasa hivi!!
nilikuwa sina habari, hebu ngoja nizicheki kwanza.
Watanzania bwana hatueleweki.....hivi tatizo ni nini kwenye blogs zile? ni mwenye blog au aliepiga picha za utupu....twende mbeel turudi nyuma yanayosemwa mule kuna ukweli ndani yake...
na wanajuana vizuri watoa maoni mule.....sasa nyie mnataka nini? ni bora waanikwe ili wajirekebishe au waachwe waendeleze libeneke na kusambaza virusi?
Tena ntafurahi sana maana itakuwa imenirahishia matatizo.....View point yako itabadilika haraka sana siku ukifungua hiyo blog ukakuta picha ya mwenza au dada iko hapo.