Ze komedi...

Huenda ingewasaidia kama wangepokea ushauri / mawazo kutoka kwa umma juu ya what they can satirise!

Lugha za matusi na kutukana watu ndo walidhani ndiyo uchekeshaji, ilifikia wakati inakuwa ngumu kuangalia na watoto au wakwe, Inabidi wabadilike sana kwani wao si wakubwa kama uchekeshaji wenyewe, nazikumbuka enzi za kina mzee Jangala, Kiatu, pia kina Pembe na maigizo yao

Enzi za Mshamu............... umenikumbusha mbali sana mkuu.

walimtumikia Manji , walitumikishwa na Manji , ili kumuumiza Mengi Reginald Wa IPP MEDIA, na walipelekwa London, waliporudi wakaporomosha matusi ya kila aina kwa mzee yule, Mungu si Athumani, anawawajibisha hapahapa Duniani.

kuwa namba moja kwa muda haishindikani,ila kuwa namba moja milele haiwezekani hasa ukiwa huna plan madhubiti za ku-maintain status yako! Kifo chao cha usanii kipo mlango unaofuata....

Guys if you wanna kucheka just watch EATV commedy,huwa nikiona tu zile sura zao nacheka mpaka mbavu zinauma.

Haters mna chuki binafsi mbona vijana wanafanya vizuri tu, nia ya kuchekesha kwao ni kuingiza kipato na ni sehemu ya ajira kwa vijana ambao kama wasingepata kazi hiyo wangekuwa sehemu mbaya ila kwa sasa wanaongeza kipato chao na pato la taifa kwa kulipa kodi na kutoa ajira kwa watanzania wengine

Halafu ucheshi unamsahidia mwanadamu kuongeza siku za kuishi na kumpunguzia stress mbalimbali za maisha. Sasa nyinyi badala ya kufurahi kwa maendeleo ya watanzania wenzetu mnaanza kuwaponda. Ule ni ucheshi tu na nia ni kutufuraisha baada ya shughuli za kujenga uchumi

Wa tz tuache chuki binafsi tumekuwa sijui jamii ya aina gani kila kitu kinachofanywa na watz wenzetu tunaponda, mtu ukivaa vizuri unapondwa acheni hizo na sitaki majibu ila habari ndio hiyo

Kwa maendeleo ya Origino komedi fuata link hii   http://www.mkandamizaji.blogspot.com/

ahahahha..MTU MWENYE UMRI WA MASANJAA BADOO UNAKAA KWAA MAMAA AU KWA DADA,KAMAA IMEKUKERAAA LIVE MEEEE ALONEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

VITUKO SHOW(ya akina King Majuto,Onyango,Mwita Maranya,Senga,Kingwendu,Mzee Pembe,Masele,Asha Boko,Sharo Milionea n.k) ya Channel Ten(kila Alhamis saa 2 na nusu usiku) ni bora kuliko hao akina Masanja(TBC1),akina Bambo(EATV) na Futuhi(Star TV)

Back
Top Bottom