Ze komedi wapigwa zengwe

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,125
attachment.php










komed.jpg


Ukichunguza ni kweli lakini wanachochea Ushoga hawa Ze komedi
 
Heri wamesema. Maana unakuta watu wanaupiga vita ushoga hapa, lakini ni kwa kwanza kuwaangalia hawa jamaa waki-act kama mashoga. Ngoja nipaste hii picha kwenye ile thread ya Boflo
 
Last edited by a moderator:
Sipendi wanavyotumia taswira ya mwanamke kuchekesha watu kwan hawana ubunifu mwingine? Hopeless

Well, said Mkuu..very true!Morally ni vibaya(udhalilishaji),
Spiritually(Kumbukumbu la Torati /Deutoronomy 22:5) sijui kwa wenzetu ma-ustaadhi!
But i dont this is even culturally acceptable!
 
wako kazini na ndio kazi walioichagua ili waweze kuingiza kipato....siwalaumu maana ni waigizaji.wana maisha mengine behind the camera
 
Well, said Mkuu..very true!Morally ni vibaya(udhalilishaji),
Spiritually(Kumbukumbu la Torati /Deutoronomy 22:5) sijui kwa wenzetu ma-ustaadhi!
But i dont this is even culturally acceptable!

- Morally

- Spiritually

- Culturally... base on ours ( African )

All above is unaccptable.!!!
 
attachment.php










View attachment 69659


Ukichunguza ni kweli lakini wanachochea Ushoga hawa Ze komedi



Nadhani mimi binafsi napingana na huu mtazamo eti hawa jamaa wanachochea tabia za kishoga. Naomba kuuliza hivi ushoga chanzo chake ni nini hasa? unaanzaje? mi najua hii kitu inakuwa ndani ya mtu kutokana na jinsi alivyokuzwa au kujifunza mwenyewe. Hawa vijana wako kazini wanaigiza na imekuwa ni ajira kwao,nadhani sual la kuwalaumu wao kuwa wanachochea ushoga si kweli kwa sababu ushoga ulikuwepo hata kabla ya hawa wasanii kuwepo na hata kama wakiacha kuigiza kwa style hii bado ushoga hauwezi kuisha hapa nchini. Ushoga ni tabia ya mtu ya ndani na ni mtu kaamua mwenyewe kuwa hivyo.Ni hayo tu.
 
yale yale ..., kutafuta wa kusingizia kwa makosa ya wengine

Hivi kuna mtu ambae hajui kwamba pale wanafanya acting (na sio kweli) ?

Kwahio na wanaoact kama majambazi wanahamasisha ujambazi, wanaoact kama wachawi wanahamasisha uchawi ?

na kama matajiri wanahamisha utajiri ?

Tuachane na kutafuta wa kulaumu na kusingizia (hivi mtu akiona the comedy wana-act kama mwanamke,) wanasema duh ngoja niwe shoga sababu nimeona the Comedy ?

Give me a break...
 
wako kifungoni hawawezi kumkejeli tena mama salma kama mwanzo na viongozi wengine huku thamani yao ikishuka kila kukicha naona wengi wao sasa wanatoa single .miziki ya injili ,......but hali sio nzuri kwao wanakimbiwa afadhali utazame futuhi utafurahia vipaji kuliko hawa jamaa ...kwishney ,,,,
 
Back
Top Bottom