Ze Comedy wamkumbuka raia mwenzetu Lau Masha

Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,231
1,470
Du raia lau masha yu wapi cku hizi??

Nilishamsahau ze comedy wametangaza bro kafulia ni kweli?
 
Yanayotokea arusha hayamhusu huyu shabiki wa ze comedy! Tumuanzishie comedy forum.
 
Jamani inamaana kwa tukio la arusha ndio kusema dunia imesimama yaani tusiongee mengine tubaki arusha arusha.
com guyz kama huna cha kuchangia or u find this post is useless basi ipotezee kwa kukaa kimya
 
zecomedy huwa siyo comedy ila satire,inayoonyesha mambo halisi yanayotokea hasa yahusiyo jamii yetu na mapungufu ya serikali na taasisi zake,
huyu mheshimiwa mstaafu,alichukua samani na vitasa ktk office za bunge,hakutarajia kushindwa ubunge ,ukizingatia kuwa alikuwa waziri wa mambo ya ndani,mwenyekiti wa CCM,mh,Dr J.Kikwete alimtangaza hadharani(nilisikia ktk radio)kuwa ndio mgombea pekee aliyepo ktk jimbo,na ni mbunge anayengoja kuapishwa.asibweteke ili atetee kampeni za wenzake ktk majimbo mengine kwani lake tayari ameshachukua angoje kuapishwa.
so Zecomedy wametukumbusha kuwa huyu jamaa yupo na amefulia kisiasa. pia iwe fundisho kwa wabunge tuliowachagua hata wa CDM,CUF kuwa wananchi wa Tz ya sasa wanapenda na kutaka kiongozi awe mwadilifu bila majigambo ya waziwazi
 
some kind of idiot<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/A S 465.gif" border="0" alt="" title="A S 465" smilieid="101" class="inlineimg" />
<br />

Uwongo mbaya, leo nimecheki TBC1 sijui nini, nikang'amua subject wa "amefulia" wa Ze Comedy ya leo obviously alikuwa Lau Masha. Lakini kama nilivyowahi kusema, he may be filthy, but guilty he ain't not
 
mh haya endeleeni na ze comdey ya yusuf manj sisi tunajitayarish kwa ukombozi wa pili wa taifa letu
 
Back
Top Bottom