Ze Comedy msisahau huu ucheshi wa Mwaka

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,947
253
Waziri mkuu kasema Rais kashaweka tiki mshiko wa Wabunge, Ikulu wanasema NOOO haijawa bado, Bibi Kiroboto na yeye Aongea..
Mganga mmoja amewachanganya vipimo hawaelewani mada.

hahahahahha, mpaka najisikia kushiiiiiiiii!!!!! nipishe
 
Duh! Bi Kiroboto!!! Imenibidi nicheke sana, kile kibibi pale bungeni kimefanana haswa na Bi Kiroboto, muonekano mpaka tabia!! Hehe...
 
Bora tabia ya Bi Kiroboto ni ya kuigiza. Lakini huyu Bi kiroboto wa Bungeni ndo tabia yake halisi.
 
hivi kunakuwaje na tofauti kubwa ya kauli namna hii kati ya rais na wasemaji wa ikulu, kati ya ikulu na spika imeenda mbali zaidi na waziri mkuu nae ana mawasiliano na boss wake yani kila mmoja ana enenda kivyake vyake
 
Yaani mnauliza majibu tena badala ya kuuliza maswali. Sasa tuwajibu nini na ikiwa nyote mnaelewa kuwa ni mambo ya serikali LEGELEGE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! HAYO!!!!!:A S embarassed:

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Duh! Bi Kiroboto!!! Imenibidi nicheke sana, kile kibibi pale bungeni kimefanana haswa na Bi Kiroboto, muonekano mpaka tabia!! Hehe...

Hivi kuondoa shupika bi kiroboto hasa hua ni nini? Katuni ama? Naichanganya na bi mkora!
 
Waziri mkuu kasema Rais kashaweka tiki mshiko wa Wabunge, Ikulu wanasema NOOO haijawa bado, Bibi Kiroboto na yeye Aongea..
Mganga mmoja amewachanganya vipimo hawaelewani mada.

hahahahahha, mpaka najisikia kushiiiiiiiii!!!!! nipishe

hivi mnaojiita great thinkers hata ze comedy mnaangalia, kumbe ndio maana magazeti yenye soko zaidi hapa tz ni ya udaku, hivi tunajenga taifa gani kizazi hiki.
 
mbona na wewe umesoma uzi huu na micahngo yake? Na wewe ni walewale acha tuburudike bana
 
Back
Top Bottom