Ze Comedy: Idea zimekwisha!

kwa kweli sasa vijana wanaelekea kuwa chali japo vipaji wanavyo, lakini pamoja na yote uwezi kunishawishi ni wakubali FUTUHI kuwa ndio replacement ya ZE COMEDY, jamaa hawana mvuto wala vipaji
 
Hawa jamaa enzi zile wakiwa channel 5. I never missed their show! Kwasasa kusema kweli sikumbuki mara ya mwisho niliona show yao lini. washkaji kusema ukweli wanajiona wao ndio greatest star in Bongo.
 
Mnawalaumu kwa lipi hasa? Sasa kama wamefulia ndio uanzishe thread ? Wanakula kwako ?
 
Original comedi,Kwishney kabisaaaaaaaa.Kweli Usitukane wakunga na uzazi ungalipo-sasa ni zamu yao kufulia.

Nakubaliana na wewe kabisa mzee hawa vijana waliingia kwapupa nakuwadharau waliowaweka juu sasa wanfanya kazi kiubishi tu hawakubali kama wameshafulia wenyewe.
 
Mnawalaumu kwa lipi hasa? Sasa kama wamefulia ndio uanzishe thread ? Wanakula kwako ?

thread inawasaidia kupata feedback kutoka kwa watazamaji.wasikae kwenye Tv wakadhani watu wanawakodolea macho...km watapata ujumbe wataangalia jinsi ya kujipanga upya.hii ni mojawapo ya kazi za JF..ni mtazamo tu.
 
Unajua waTz tunapenda sana kupoteza muda na kufanya kazi zisizotuingizia kipato. Wewe kama komedi wanafulia hiyo si inakula kwao? Yaani sisi sijui tukoje! yaani tunaacha kusoma na kubadilishana mawazo kwenye thread za kijasiriamali au nyengine zenye faida, tunaketi kitako kujadili ze komedi!

Kama ishu ni feedback, wao ndo walitakiwa wazitafute maana wao ndo wenye kutuhitaji sisi watazamaji na sio kinyume chake.

Ni mtazamo tu!
 
Nadhani una matatizo ya msingi ya uelewa.

sasa kwani kazi yao sio ujasiliamali? wakichemka wakaondoka kwenye hii ramani itakua hasara yao pekeyao au? am not sure kama umeangalia hilo kwa mapana na marefu coz wakifulia na kutoka kwenye ramani kuna watu kibao watapata tabu. tukianza na familia zao, wafanyakazi wao, mzunguko wa hela na vingine vingi. kwao ni ajira lakini kupitia kwao wengine wamenufaika ambao kama jamaa watapotea itakula kwao.

so tupo hapa kuwa alert ili wajue jinsi ya kusolve hilo tatizo...kaka abdul vipi aisee?
 
nyie jamani kama mna ubunifu wapeni wenzenu sio kuwapondea hivi nyie mkiwekwa kwenye kideo mnaweza kutuchekesha ??
wasaidieni ujuzi pale walipopungukiwa
 
sasa kwani kazi yao sio ujasiliamali? wakichemka wakaondoka kwenye hii ramani itakua hasara yao pekeyao au? am not sure kama umeangalia hilo kwa mapana na marefu coz wakifulia na kutoka kwenye ramani kuna watu kibao watapata tabu. tukianza na familia zao, wafanyakazi wao, mzunguko wa hela na vingine vingi. kwao ni ajira lakini kupitia kwao wengine wamenufaika ambao kama jamaa watapotea itakula kwao.

so tupo hapa kuwa alert ili wajue jinsi ya kusolve hilo tatizo...kaka abdul vipi aisee?

Nadhani points zangu zinatosha kwenye thread. Sina la kuongezea, mwenye kunifahamu atakuwa amekwisha nifahamu.
 
sasa kwani kazi yao sio ujasiliamali? wakichemka wakaondoka kwenye hii ramani itakua hasara yao pekeyao au? am not sure kama umeangalia hilo kwa mapana na marefu coz wakifulia na kutoka kwenye ramani kuna watu kibao watapata tabu. tukianza na familia zao, wafanyakazi wao, mzunguko wa hela na vingine vingi. kwao ni ajira lakini kupitia kwao wengine wamenufaika ambao kama jamaa watapotea itakula kwao.

so tupo hapa kuwa alert ili wajue jinsi ya kusolve hilo tatizo...kaka abdul vipi aisee?

Bravo kaka u r a great thinker!
 
Kama tusipowaambia ukweli watajifunza vp kuwa wanaboa! washkaji zako nini mwana!

Inaonekana bado sana hujaelewa ninachokifafanua. Kama wanakuboa why so much trouble? kwa nini uhangaike kuboresha ajira na kipato cha wengine ? je wewe ni mahiri ktk kazi unayofanya ? huna kitu kingine cha kufanya mpaka udandie kurekebisha vya wengine? Wamekutuma uwafanyie tathmini?
 
And kwanini unatumia nguvu nyingi kubwabwaja haki yangu ya msingi ya kukicritisize? Ndo maana nimekuuliza hao jamaa washkaji zako nini? I dont give a damn kama kwa kusema hivi naboresha kipato cha wengine! Wewe ndo nakuona mshamba kwa kuongea usichokijua mwana!
 
hawa jamaa bila ya kuwavunjia heshima lakini pia waliijengea tanzania taaswira mbaya kidogo kwavile kujifanya kama wanawake ambapo wengi wa wasiowajua (mataifa ya nje) wanawachukulia kama mashoga. niliwahi kuona comment moja inayohusiana na video yao nadhani kwenye you tube(sikumbuki vyema), hiyo comment ilikuwa inaulizia ni nchi gani hii iliyo na mashoga wanaojifanya kama hivi?. pamoja na kwamba sio muangaliaji wa video zao lakini ningewashauri watafute wanawake sehemu ya wanawake na sio kujifanya wao wanawake. haipendezi.
ni mawazo yangu tu. kama nimekosea naomba msamaha.

quiet
 
And kwanini unatumia nguvu nyingi kubwabwaja haki yangu ya msingi ya kukicritisize?

Ndio matatizo ya kukijulia kiswahili ukubwani. Unaweza kunionesha ni wapi "nimebwabwaja haki yako"?

Nikuzuie ku-criticize wewe kama nani? Una nini hasa cha kujivunia ktk fani ya burudani? Una cheti chochote ktk mambo ya critic? Propably huna, hivyo 'criticism' kwako, 'utumbo' kwangu. Upozz?
 
Ndo maana nimekuuliza hao jamaa washkaji zako nini? I dont give a damn kama kwa kusema hivi naboresha kipato cha wengine! Wewe ndo nakuona mshamba kwa kuongea usichokijua mwana!

This is the easy way out of a fool, I expected it.
 
Ndio matatizo ya kukijulia kiswahili ukubwani. Unaweza kunionesha ni wapi "nimebwabwaja haki yako"?

Nikuzuie ku-criticize wewe kama nani? Una nini hasa cha kujivunia ktk fani ya burudani? Una cheti chochote ktk mambo ya critic? Propably huna, hivyo 'criticism' kwako, 'utumbo' kwangu. Upozz?

Kaka unanifurahisha sana. Bahati mbaya humu wengi hatujuani so huwezi kujua nina mchango gani kwenye burudani. Kukcritisize si lazima uwe na chati bali ni kiasi cha kuwa na uwezo mdogo tu kuona jambo baya na zuri kitu ambacho hata mtoto wa darasa la kwanza anaweza kufanya! Tatizo la kuwa na elimu ya kuungaunga uliyoipata ukubwani ndo maana unaamini kuwa kila jambo lazima uwe na cheti! Maneno yako kwangu ni utumbo zaidi ya hata hao ze comedy. I'm out
 
Back
Top Bottom