Ze Comedi ya Udhihaki Uislamu!!

Status
Not open for further replies.
Udini umejaa tu. Wakiekti wakristu hamuongei mnaona poa tu. Mnataka kuniambia hamna waislam wa namna hiyo? Mi nimeshuhudia hayo mambo. Ndio maana watu wanasema uislam ni dini ya upanga..ful of violence!
 
<br />
<br />
hawakuikashifu dini waliwakashifu waumini wanaofanya hivyo.

Na wewe usiwe kama mtoto, unadhani dini ni kama jiwe au ndoo, dini ni imani na inaonekana kwa waumini kwa maana hiyo ukiwakashifu waumini ndio kuikashifu dini kwenyewe.
 
Nawe umeanza, mbona huo ni utani wa siku zote, kwa sababu maulid lazima mpunga upikwe. Utani tu. Hukumbuki kuwa watu wanaenda na ndizi kwenye kanzu za kulia wali!!!!! baada ya maulid

Wala sina tatizo na hicho unachoita utani BUT am sure huyo mtu hafahamu chochote kuhusu Maulidi na Mtume aliyemtaja therefore am confident kwamba anamaanisha!!! and to be specific, u better say anything stupid to myself and i can ignore it than saying stupid thing to the messanger of the god! Angemtaja Sheikh Yahya au yeyote yule ninge-conclude kwamba ni kuvumbiwa futari za kukaribishwa BUT not about Muhammad S.A.W
 
Issue zingine ninahitaji busara kidogo tu..Ze-Comedy wanafanya Fasihi lakini haitakiwi kumuudhi mlengwa hasa kama inaonekana inalenga kudhalilisha,kutweza au kukashifu. Sijaiona hii ze-comedy inayozungumziwa, lakini kwa ujumla wake tusiruhusu kila jambo lifanyiwe mzaha..itakuja kutugharimu huko mbeleni...Kwangu mie hata wanapowaigiza waumini/wanakwaya wa Kikristo huwa nazimaga TV..Wajameni lazima tukubali kwamba yako mambo ya kufanyia 'Jokes'..na Mengine sio!!
Kama mnakumbuka kuna kipindi walikuwa wanawaigiza MaPresidents wa nchi za Nje..Lakini walikatazwa..Siungi mkono udini lakini pia sikubaliani na mtu asiyetambua thamani ya dini ya mtu kiasi cha kuifanyia 'Mockery'
 
All in all ze comedy siyo wabunifu, hiki kichekesho kiliigizwa mwaka jana na futuhi.
 
hao ni wachekeshaji tu..! angalia jinsi wanavyovaa wakiigiza nyimbo za dini za kikristo...! USIKUZE JAMBO DOGO BANAAA..!

waende wakafanye utani .. na ndugu zao nyumbani! uislam wetu watuachie ...

P.S - KWAKO MTOA MADA JK SIO MDINI!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom