Ze Coedy ya Dr. Ulimboka

Mjanga

JF-Expert Member
Feb 13, 2011
1,238
324
Hivi inawezekana Mchungaji ameamua kukanusha kuhusishwa kwake na mtu anayetuhumiwa kuhusika katika sakata la kumteka na kumtesa Dr. ulimboka baada ya kutafakari udogo wa kile alichoahidiwa na serikali ikilinganishwa na
mavuno yanayotokana na sadaka ya waumini? hii ni kusema kwamba angeendelea na serikali angepoteza waumini
wake na kushusha kiwango cha kipato kanisani?
Tunasubiria mwendelezo wa hii muvi..what will Kenyans' government say??
ni aibu sana kwa Nchi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom