students can be very creative, walimu tu hawajui
Hii nimeipenda kwa kweriiiii. Ningeomba serikali husika imtafute na kumtunuku nishani ya uvumbuzi, hilo pozi si mchezo hata mwalimu awe mnoko kwa kiasi chochote lazima afikiri jamaa anatafakari namna ya kujibu swali kumbe..........
Hii nimeipenda kwa
kweriiiii. Ningeomba serikali husika imtafute na kumtunuku nishani ya
uvumbuzi, hilo pozi si mchezo hata mwalimu awe mnoko kwa kiasi chochote
lazima afikiri jamaa anatafakari namna ya kujibu swali
kumbe..........