M Mom 2b Member Apr 1, 2010 5 0 Sep 21, 2011 #1 Jaman Zawadi kaishia wap,mbona utam umekolea ndo akaingia mitin? Mwenye website ya hiyo story ya zawadi naomba!
Jaman Zawadi kaishia wap,mbona utam umekolea ndo akaingia mitin? Mwenye website ya hiyo story ya zawadi naomba!
lutamyo JF-Expert Member Apr 13, 2011 641 159 Sep 21, 2011 #2 hebu waulize wahusika bana maana kimya sana