Zawadi ya x-mass

futikamba

JF-Expert Member
Jan 18, 2010
243
13
Habari ya leo wakuu,
Mwaka ndio unaisha hivo & ktk nyakati hizi watu husafiri kwenda mikoani walikozaliwa kutembelea ndugu, jamaa & marafiki wa kitambo. Je umejiuliza ni zawadi gani inafaa kupeleka huko?
TAA YA AJABU! Ni taa nzuri sana kwa maumizi ya dharura pale umeme unapokatika. Pia inafaa sana kwa jamii ya watu wa mashambani kwani haina gharama za kujirudia(recurring) & matengenezo kabisa. Unazungusha kwa sekune 60 tu na unapata mwanga saa nzima. Inacaji simu pia! Inapatikana sasa kwa TZS 40,000 tu!!! Je bado tu hujapata jibu kuhusu zawadi nzuri kwa msimu huu? Tunapatikana mbezi beach - samaki. Tupigie simu namba 0653 297681 kwa maelezo zaidi.
TAA YA AJABU, NI YA AJABU KWELI KWELI!!
 
Unamaanisha nini kusema unazungusha tu?
Ina maana inajicharge yenyewe?How?
 
Unamaanisha nini kusema unazungusha tu?
Ina maana inajicharge yenyewe?How?

Ina maana hujui maana ya kuzungusha Lizzy??
Acha utoto bana, we ntafute nikuzungushie uone kama haitakaa na chaji kwa lisaa lizima
 
Ina maana hujui maana ya kuzungusha Lizzy??
Acha utoto bana, we ntafute nikuzungushie uone kama haitakaa na chaji kwa lisaa lizima

Huhhhh??
Nadhani tuko kwenye kurasa tofauti...hicho unachotaka kuzungusha wewe sikihitaji. Ila kama unaweza sana omba kazi Twanga pepeta.
 
Huhhhh??
Nadhani tuko kwenye kurasa tofauti...hicho unachotaka kuzungusha wewe sikihitaji. Ila kama unaweza sana omba kazi Twanga pepeta.
Lol..umenifurahisa sana Lizzy..naona jamaa kaja kichwa kichwa na wewe ukamrudisha hivyo hivyo!!
 
Huko ni wapi mkuu?? Hata sijawahi kupasikia. Nahisi na penyewe ni pa ajabu ajabu!! Dah...
 
Unamaanisha nini kusema unazungusha tu?
Ina maana inajicharge yenyewe?How?

Lizzy,
Hii taa inatumia technology ya dynamo. So una guarantee ya kukaa nayo kwa muda mrefu sana ukilinganisha na taa zingine. Na pia bila gharama kabisa... Labda niseme gharama yake ni shibe tu ambayo bila shaka itapatikana baada ya kusevu pesa mingi tu kutokana na matumizi ya mafuta ya taa, chemli, tambi n.k
Natumai nimekujibu vyema swali lako..
 
Nimekusoma Futikamba. . .
Ntakutafuta tuongee biashara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom