Zawadi ya Valentine Ujumbe wa Afya bila malipo

The Dr

New Member
Oct 2, 2011
3
0
Wakati huu wa sikukuu ya wapendanao mambo mengi hutokea. Mapenzi mapya huzaliwa, wapenzi wa zamani hugombana ma wengine husameheana. Kwa siku kumi na tano TAYOA itakuwa ikikupa namna nzuri na salama za kusherehekea sikukuu ya wapendanao. Ukituma neno LOVE kwenda 15017 utakuwa umejisajili kwenye huduma ya ujumbe wa bure, ujumbe utakaokupa namna nzuri ya kusherehekea sikukuu ya wapendanao.
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom