zawadi ya nyumba na gari

Fatma Bawazir

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
492
180
kulitoke tangazo moja Ukiwa na watoto kumi utapata zawadi ya nyumba na gari

MKE: sasa mumewangu sisi tuna watoto nane itakuwaje
MUME: mkewangu nisamehe nna watoto wawili nje ya ndoa ngoja nikawachukue alipo kwenda kuwachukua kurudi akawakuta wale watoto nane hawapo akauliza

MUME: wakowapi hawa watoto
MKE :wote wamekuja kuchukuliwa na baba zao
 
Aangalie huyo mama watoto wawili aliowaleta anaweza ona tangazo nae akaja kuwachukua..lol
 
sasa hapo itabidi wakubaliane tu wakose hizo zawadi...halafu wasameheane tu.....ila huyo mwanamke hatari watoto nane???????????
 
Back
Top Bottom