Zawadi ya ngono

Hus nimekusoma mwaya.
Ukwelini kwamba maadili hayakosekani kwa wanaopokea bali kwa wanaotoa pia.Wote wapo kwenye kundi moja, maana ikitokea mmoja akiamua katu katu hatoi/hapokei mwenzaki hawezi kumlazimisha.Kuna namna nyingi tu za kuepukana na rushwa ya ngono (kwa wale wanaodai walilazimika kutoa) sema tu watu wanapenda urahisi.Hawataki kuhangaikia wala kupigania kile wanachotaka.

Sema case namba moja naweza kumtetea maana kwa kua binti mdogo amabae amekosa support ya mwalimu wake wa darasa ,pengine hata wazazi/walezi anaweza hata akabakwa ikiwa hatoamua mwenyewe kukubali. Inatisha kweli kwamba mtu unaemtegemea kukulinda hatoi msaada unaohitajika na kuishia kumwambia bibti avumilie.Mi mijitu kama hiyo ningeipeleka jela yote. . .
 
hakuna marking scheme ya maisha
na haramu kwake yaweza kuwa halali kwako, na vice verse
hautakiwi kujustify actions zako kwa awaye yeyote hapa dunuani
as long as huvunji sheria za nchi

na zawadi pokea
ila akili kumkichwa

hapana mkuu naona huyu mdau badala ya kuchangia mada anadeal na mimi. mimi sio kilaza atii
 
Hus nimekusoma mwaya.
Ukwelini kwamba maadili hayakosekani kwa wanaopokea bali kwa wanaotoa pia.Wote wapo kwenye kundi moja, maana ikitokea mmoja akiamua katu katu hatoi/hapokei mwenzaki hawezi kumlazimisha.Kuna namna nyingi tu za kuepukana na rushwa ya ngono (kwa wale wanaodai walilazimika kutoa) sema tu watu wanapenda urahisi.Hawataki kuhangaikia wala kupigania kile wanachotaka.

Sema case namba moja naweza kumtetea maana kwa kua binti mdogo amabae amekosa support ya mwalimu wake wa darasa ,pengine hata wazazi/walezi anaweza hata akabakwa ikiwa hatoamua mwenyewe kukubali. Inatisha kweli kwamba mtu unaemtegemea kukulinda hatoi msaada unaohitajika na kuishia kumwambia bibti avumilie.Mi mijitu kama hiyo ningeipeleka jela yote. . .

nashukuru umekubali kuwa mtoa rushwa na mpokeaji wote wana makosa na wote wanafaa kulaumiwa. lizzy huwezi amini huyo mwalimu yeye ana deal na watoto wa o level tu, watoto wa advance anawaheshimu. nawaonea huruma madogo maana huyo ticha naskia bado yupo na anaendeleza mchezo wake.
 
wee Lizy
unaishi dunia ipi hiyo
ambayo mwanamme akikupa lazima ulipe?

Njoo uone huku kwetu kwa Tumbo
tunapokea na ukileta zako unaitiwa mwizi
inategemea na mazingira ya kupokea
Mi naishi dunia ambayo sitoi wala sipokei zawadi zisizoeleweka, mambo ya kukabwa kabari kisa chips mayai siwezi mie.
 
i can. ngoja nikuulize kitu ukiwa na gari mtu mwingine akakupa zawadi ya gari hutopokea?

kuchukua au kutochukua itategemea terms za hiyo zawadi. Kwako kwa ile orodha ndefu ya vitu unavyopewa na Wanaume si rahisi terms zake hazikufungi. Lkn hili nalo liko wazi "HAKUNA CHA BURE DUNIANI".
 
Lizzy inawezekana umeshaulizwa hili au kuna mtu keshachangia huko nyuma. Umeshajaribu kuliangalia hili tatizo kwa jicho lingine? Sina maana kuwa unachosema sio kweli. Lakini kuna baadhi ya wanafunzi wachache ambao kutokana na hali wanayojikuta nayo wanakuwa hawana jinsi bali kugawa ngono kwa walimu wao. Wako baadhi ya wasichana wanawekwa na walimu wao katika mazingira ambayo itabidi wagawe ngono tuu. Remember the relationship kati ya mwalimu na mwanafunzi has never and will not be equal.

Sometimes, the student just doesn't have a choice ukizingatia mwalimu ndie anayeshika mpini. Ndio maana hata sheria inatambua kuwa uhusiano kati mwalimu na mwanafunzi is based on trust and confidence. But there some teachers out there who abuse this trust. Pia wapo wanafunzi ambao wanajua kuwa baadhi ya walimu wana-abuse this trust, so wanatumia this as an opportunity kujilengesha. H
ao wanaogawiwa ngono ni wa kulaumiwa pia, otherwise wanafunzi wasingeweza kugawa.

Tatizo lingine ambalo nimeliona ni kwamba walimu wengi wa siku hizi did not intend to become teachers. Kwa wengine imetokea tuu kwamba hawakuwa na pass marks za kutosha kuwawezesha kusoma kozi walizozipenda, so the last option was kuwa mwalimu. Wanasema ualimu ni wito. Na mwalimu mwenye wito nai anayejua na kufanya kazi yake ipasavyo, sidhani kama atafanya ngono na mwanafunzi wake hata kama huyo mwanafunzi anajilengesha.

Sorry sikujibu maswali yako.
EMT tuko pamoja, ila swala la kulaumu wapokeaji pekee mimi nakubaliana nalo pale inapotokea anaelazimika kutoa hiyo rushwa anapokua hajitambui kutokana na umri. Zaidi ya hapo, wanaendekeza wenyewe.Kama ambavyo mwalimu halazimiki kupokea ,ndivyo ambavyo mwanafunzi nae halazimiki kutoa .Utayari wao ndio unaopaswa kulaumiwa.

Kuhusu walimu waliojiunga na ualimu ili tu wapate ajira nakubaliana na wewe kwa 105%. Nakumbuka mara ya mwisho kwenda kutembelea shule yangu ya sekondari nilikuta walimu wengi kweli vijana, baadhi nilisikia wana mahusiano na wasichana wa pale shuleni, tena tofauti tofauti. Na mmoja nilihakikisha mwenyewe, sadly alikua anatembea na binti ambae ni ndugu yangu na alikua na miaka 14 tu at the time. Pamoja na kwamba inawezekana binti alijirahisi mwenyewe ila ni dhahiri kwamba mwalimu ndie mwenye makosa zaidi maana yeye ndie aliyetakiwa kuwa mlinzi badala ya mtumiaji.Inasikitisha sana!!
 
the fittest will survive
haijalishi kwa mbinu gani

mfano, anayetoa ngono kupanda cheo anatofauti gani na huyu

mr x ni F4, mzee kwa umri, uzoefu miaka 15
mr y graduate, kijana ndo anaanza kazi
y kaongeza masters

mr x kamchongea kwa director mr y na management yote kuwa ni mbaya, mvivu, hafai kabisa
mr x ni ndugu wa director
mr y ana experience ya miaka 4

inatokea nafasi ya HOD, mr x anapandishwa cheo wakati kila mtu anajua mr y ndo alistahili hiyo nafasi

hata mr y ni najisi kama mtoa uroda tu
Cant even thnk 'bt it. Kwangu itakua km kula haram, kuchuma haram.
Muhm kujiamini tu. Ndo mana hatuendelei, utakuta mtu hata haqualify lkn anapeta kuliko mwenye uwezo. Mungu awalaani wote wanaotoa na kula rushwa especially hii ya ngono kwani wanizibia rizk wenziwao. Ameen
 
nashukuru umekubali kuwa mtoa rushwa na mpokeaji wote wana makosa na wote wanafaa kulaumiwa. lizzy huwezi amini huyo mwalimu yeye ana deal na watoto wa o level tu, watoto wa advance anawaheshimu. nawaonea huruma madogo maana huyo ticha naskia bado yupo na anaendeleza mchezo wake.
Mbaya sana aiseee. . .
Sasa aliowatumia wote wanashindwa nini kumfundisha na yeye somo?Watafute namna ya kumkomesha.
 
mimi kila mwaka nachukua zawadi ya mfanyakazi bora niko vizuri am professional ujue kuna mahali hapahongeki besides sijasoma elimu zenu uchwara za bongo. niko na confidence na kazi yangu ipo kwenye damu yangu siitaji kuhonga k nipate kazi cause nauzika kila mahali dunia nzima usipime

LABDA WEWE NI PROFESSIONAL WA KUSHINDA KWENYE JF NA SI VINGINEVYO. KAMA ELIMU YA BONGO NI UCHWARA SI UNGEFANYA NA KAZI HUKO UNAKOONA KUNA CHA MAANA KULIKO BONGO. HALAFU, NA PROFESSIONAL YAKO UNAPOKEA ZAWADI KUTOKA KWA HAO WENYE ELIMU UCHWARA WA BONGO NA NDIYO WANAKUPA HATA TIKETI YA KWENDA KIJIJINI!

WEWE KWA MAONI YAKO UNATAKA KUTUHAMINISHA KWAMBA WALE WANAOTHIRIKA NA TATIZO LA NGONO NI WALE WAKINA DADA/MAMA WALIOSOMA BONGO? JARIBU KUWA NA STAHA WEWE KWANI SI WEWE TU ULIYEFANIKIWA KUSOMA NJE YA NCHI KAMA UNAVYOTAKA KUWADHALILISHA WALE WANAOSOMA TANZANIA. KUNA WENGI TU WANASOMA HUKO UNAKOFIKIRIA LKN WANAHESHIMU SANA ELIMU YA BONGO. PIA CHANGAMOTO KTK ELIMU IKO KILA SEHEMU NA SI BONGO TU.
Smile, wewe tueleze tatizo liko wapi na si kutamba kwamba Elimu ya Bongo ni Uchwara. Si ajabu hata zawadi ya mfanyakazi bora unayopewa kila mwaka nayo inahusihano na hili linalojadiliwa hapa.

hivi mwanamke wa miaka 45, ana kadegree umfunze nini?

Bora mtoto au kijana aliyepinda hufunzwa lakini mtu mzima achana naye amalizie maisha yake yalobaki

cha kujiuliza, wote tumeng'aka sasa wanaofanya ni akina nani?
Ningependa kusikia ushahidi toka kwa victim angau mmoja

tunawahukumu bila kuwapa nafasi ya kusikia upande wao

ngumu kuzuia kuombwa ila kuzuia kutoa inawezekana kwa asilimia zote. inabidi nifungue darasa rasmi la peer education.lol
 
hivi mwanamke wa miaka 45, ana kadegree umfunze nini?

Bora mtoto au kijana aliyepinda hufunzwa lakini mtu mzima achana naye amalizie maisha yake yalobaki

cha kujiuliza, wote tumeng'aka sasa wanaofanya ni akina nani?
Ningependa kusikia ushahidi toka kwa victim angau mmoja

tunawahukumu bila kuwapa nafasi ya kusikia upande wao

hivi hadi wazee wanatoa rushwa za ngono!? Na uzee huo elimu ya ufahamu bado hana tu! Mi naona wanawake tuliochangia hapa hata kumi hatujafika, labda wahanga watakuja kutoa ushuhuda.
 
nashukuru umekubali kuwa mtoa rushwa na mpokeaji wote wana makosa na wote wanafaa kulaumiwa. lizzy huwezi amini huyo mwalimu yeye ana deal na watoto wa o level tu, watoto wa advance anawaheshimu. nawaonea huruma madogo maana huyo ticha naskia bado yupo na anaendeleza mchezo wake.
shule gani hiyo?
ipo mkoa gani?
inamaana mpaka leo hakuna mwl mwingine wa somo hilo?
 
hivi hadi wazee wanatoa rushwa za ngono!? Na uzee huo elimu ya ufahamu bado hana tu! Mi naona wanawake tuliochangia hapa hata kumi hatujafika, labda wahanga watakuja kutoa ushuhuda.
Sasa wewe Hus unategemea kama alitoa sec. , akatoa chuo, akatoa kazini ataacha kabla hajafikia malengo?

Embu wasaidieni hao wadogo wadogo namna ya kupambana na hayo mafisadi.
 
1. Kuna wanawake wanaojali sana miili yao kuiheshimu na wanautu, hawa wanatabia ya kuwa na misimamo na hawababaishwi na lolote mbele yao ili mradi anaujuzi na taaluma yake kichwani hawa hawadanganyiki.

2.Kuna wanawake wengine wanajiheshimu kwa kiwango cha uvuguvugu.hii inamaana kwenye tabia nzuri,kuheshimu miili yao na kuwa na msimamo wapo kiaia,na kwenye kutoiheshimu miili yao,kutokuwa na msimamo na kuwa na tabia mbaya napo wapo kiaina.hawa ni wa uvuguvugu.hawa huweza kurudi katika pointi namba moja endapo watapata ushauri mzuri na endapo wakipata ushauri wa hovyo wataangukia katika kundi namba tatu hapa chini.

3.Kuna wengine hao wanaitwa "i dont care",hawa hawana cha kupoteza,wao wana open their nanii na kutoa kuanzia atakaye mkutanisha na mabosi,bosi mwenyewe.yani wanasemaga niangushage a.k.a ma mama huruma walichopewa na mungu kumnyima mwanaume dhambi,na asipompa itapata kutu.

Kwa makundi hayo matatu hapo juu wenye kufall katika namba 1 ndo wanaunafuu wakutoa gift ,but group la 2 wanaweza change kutokana na mshauri atakaye mpata.

Wanawake mkazanie hapo kwenye namba 1.
Hapo ndipo salama yenu ilipo.
 
Huna mabinti? Hata dada?
Hufikiri na wao wangefika level ya kwenda jkt?

Hii inanikumbusha wadada wapenda dezo waliokuwa wakienda JKT enzi hizo. Bahati nzuri JKT imefutwa vinginevyo kwa ukimwi huu wa sasa wengi wangeangamia kwenye makucha ya maafande wenye uchu wa ngono.
 
Back
Top Bottom